Hali ilivyo kuhusu changamoto ya ubahaba wa maji safi na salama kwa Wakazi wa Kijiji za Baraki, Kata ya Baraki Wilaya ya Rorya Mkoani Mara ambapo kuna takribani Kilometa 5 tu na lilipo Ziwa Victoria lakini huduma ya maji safi bado ni mtihani kwao.
===========================
Hapo ni Kata ya Baraki, Tarafa ya Suba, Tarafa ambayo anatokea Jafari Chege, Mbunge wa Jimbo la Rorya. Kata hiyo ni ya pili ukiwa unavuka maji kupitia Kivuko cha Kinesi kutoka Musoma kwenda Rorya inakadiriwa ni Km chini ya 6 kutoka Ziwa Victoria. Video: NijuzeNews