SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
- Thread starter
- #21
Amani ikutawale🙏Ntakua nao kiroho kumuombea shujaa Magufuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amani ikutawale🙏Ntakua nao kiroho kumuombea shujaa Magufuli.
Amani ikutawale🙏Safi sana, nipo pamoja kwa madhimisho
Hajalala unono huyo😅?johnthebaptist Mzee ushafika Chato? Tunategemea uwe live kutupa kilichojiri huko
Spin doctor huyo bamefabricate kwa mupicha?Hao walioshika bango ni chawa tu.
Magu ni mzalendo basi inatosha.
Utakatifu ni Kwa Walio hai, Si waliokufa,
Mungu ni Mungu wa Walio hai.
Nilisisimka siku nikimuangali live akitamka maneno haya, "Mtanikumbuka" na nimesisimka tena baada ya kurudia kuitizama Video hii fupi tena.
View: https://m.youtube.com/watch?v=dVaG4FL90x4&pp=ygUWc2lrdSBtb2phIG10YW5pa3VtYnVrYQ%3D%3D
Aisee, hili Jabali🙌 mikono juu
R.I.P Comrade
hata yule mdudee ya chadema amerudi kwa mukichwa na kufikiri Magufuli number 1Kati ya mambo mengi tu ambayo Wananchi wa kutokea rika zote, kabila zote, kutokankona mbalimbali za Tanzania bila ya kusahau wale wanaotoka vyama vingine vya siasa.
Ni kumuenzi Shujaa huyu Wa Afrika.
Sasa huku wananchi wa Chato wakijiandaa, niwaachie maneno machache aliyoyasema Mwana CHADEMA Peter Msigwa. Nanukuu...
"Pamoja na mapungufu ya Hayati Magufuli lakini kuna mazuri pia tulipaswa kuyaendeleza mfano nidhamu kazini, uoga kwa mali ya umma na kuheshimu wananchi"~Peter Msigwa.
Uko na roho muzuri. Mola amemubarikiaAmani ikutawale🙏
Pamoja.
Mutoto ya Prezidaa Magufuli. 👏Jesca
Kwamba ni mtakatifu?!Vimba na upasuke
Ww n bird brain. weka akili kwa mukichwa.Kwamba ni mtakatifu?!
Aisee, kwa lugha yako, naona kama uliamuaga kuhamia burundi aisee...interesting.Spin doctor huyo bamefabricate kwa mupicha?
Ha ha. Indeed she is.Mutoto ya Prezidaa Magufuli. 👏
🙏Uko na roho muzuri. Mola amemubarikia