Wananchi wa Iran waanza kuhoji aliko Ayatollah, atoke mafichoni, Israel imeacha kupiga

Subiri nipate fursa niwatengenezee video yangu uone mkivua mikanzu....
🤣🤣🤣🤣🤣 Kumbe mavideo yako ni yakujitengenezea mwenyewe kweli nyie mavichaa
 

Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 15
  • 6110111-a600e4979ae6b0e944cb76dedc3ed53.mp4
    1.3 MB
Yupo kwenye bunker na hakutaka mawasiliano yoyote ya kidigitali wasije wakamtrace. Ni wiki sasa hajasikika wala kuonekana
Trump alisema wanafahamu vizuri shimo alilojificha ila hawajataka kumla kichwa kwa sasa
 


WEEEEEE.... ATOKE BILA KUPATA UHAKIKA WA MAISHA YAKE? USIMDANGANYE ANAWAJUA MAYAHUDI HAWACHEKI NA WOWOTE
 
Iran__babiloni
Kabla ya islamic revolution iran ilikuwa ni nchi ya wakristo
 
Kuna hako kapicha hapo juu umejaza kwenye kila hoja humu, sijui mnagaiwa hayo mapicha kwenye msikiti upi, Israel imetuheshimisha sana nina raha hadi naumwa.
Huyo anaitwa Hayatollah Ali Komeo la chuma.
ukipenda muite mzee Uchebe .🤣

Au hata ukimuita baba Kizimkazi anaitika huyo.😂
mzee hanaga baya🤸🤸🤸

Chuma hiki hapa uso wa mbuzi.👇

 
Iran__babiloni
Kabla ya islamic revolution iran ilikuwa ni nchi ya wakristo
Hapana, Iran haijawahi kuwa taifa la Kikristo. Kabla ya kuja kwa Uislamu:

  • Iran (zamani ikijulikana kama Uajemi) ilifuata dini ya Zoroastrianism, ambayo ndiyo dini kuu ya kale ya Wapersia.
  • Dini ya Kikristo ilifika Iran kabla ya Uislamu, lakini haikuwahi kuwa dini ya taifa.

Baada ya Uislamu kuingia katika karne ya 7, Iran polepole ikawa taifa la Kiislamu. Leo, Iran ni nchi ya Kiislamu ya Kishia (Shia Islam) kwa zaidi ya 90% ya watu wake. Wakristo wapo wachache na wanalindwa kikatiba kama wachache wa kidini.
 



View: https://x.com/BRICSinfo/status/1938238311123783937

Bado mna shida na uwepo wa mzee!?
 

Unachuki mbaya sana, udini umekukolea sana sana.
 
Wewe mbuzi ya kericho, pambana na ya kwenu, mnakufa kama kuku sasa, GSU sasa hawacheki na mbuzi.....


 
kwao wanakufa kama kuku ila anajadili habari za Iran na Israel.
 
amehutubia leo japo sauti ni ya kichovu amesema marekani itapigwa kama kawa na israeli atajibiwa akishambuli.
source😀W
 
Unahisi mipaka ya leo ni sawa na ya zamani?hata baadhi ya sehemu za Middle East ya sasa zilikua rome
Iran haijawahi kuwa Babylon huo ndio ukweli, west Iran ndio ilikua MESOPOTAMIA ambayo ilikua Ina include Syria, Turkey,Kuwait, Israel, Jordan na na nchi yeto ya Iraq. Baadae ndio ikaja zaliwa Babylon ya Arkad ambayo Iran haikua sehemu yake, hio Babylon ndio Iraq ya Leo na sehemu za baadhi za Syria na si Iran.
 
Babylon ilikua ni sehemu ya mesopotamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…