Pre GE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyo sio msomi
Profesa tumbo

Msomi mzima kakosa chama m-badala
 
Kwao ni hai sehemu gani huyu asiyefahamika? Anaweza kuchuana na mbunge aliyepo, Dastun mallya, fuya kimbita au Edna Mafuwe?
Huyo ni Professor!
Tunaomba utulivu, hekima na busara!

Hata kumpata,kuomba achukue fomu,Alisha kataa, imetumika Sala na maombi hadi amekubali.

Sio mtu wa njaa.

Vijana Jimbo nzima wamemkubali, Ukimkubali Saa100 huwezi kumkwepa Professor!

Kilio Cha Wana Hai! Kimekwisha.
 
Hicho kilevi unachotumia kimekukataa nawe kikatae utaishia pabaya.
 
JImbo la hai ni mbunge mmoja tu alisharudi awamu mbili na akashinda mbowe peke yake wengine wote mitano basi hata huyo saa shida mafuwe kura za maoni hatapita a la alafu Urassa aje kupoteza muda wake
Nik

Nikwamba aliyepo saivi amezidiwa na mtqngulizi wake katika kufanya maendeleo kiasi kwamba hatakiwi kupewa mitano tena?.Au utaratibu wa hilo Jimbo nikupeana mhula mmojammoja
 
Ila inaonesha wewe ni mtu umepangwa kuwachafua watia nia ili yule wa kwako uliyemkusudia aweze kupita
 
Huyo aliyekutuma kumpamba hapa
Asikulipe hata mia maana badala ya kumpamba umemuharibia kabisa

Inabidi wewe ndo umpe hela kwa kuchafua jina lake

Wananchi Gani wa hai wamechanga million 500
 
Urassa, yule Surgeon wa Nkwarungo? Au ni Urassa kwingine? 😲
 
Huyo aliyekutuma kumpamba hapa
Asikulipe hata mia maana badala ya kumpamba umemuharibia kabisa

Inabidi wewe ndo umpe hela kwa kuchafua jina lake

Wananchi Gani wa hai wamechanga million 500
Umeoona ni fedha nyingi hizo!
Wakati amejiandaa kutumia 2 bilioni kwenye kampeni zake?
 
Mbunge ameanza utapeli mapema,itakua jambo la ajabu wananchi kumpa kura kwani hakuna mwananchi ambaye hana maslahi nae achange kiasi hicho.
 
Wadau wamemshukia vibaya prof urassa wa mchongo

Naihheshimu wilaya ya hai bcz nimekaa hpo kma 2yrs
 
Wewe fala unakera kinyama..πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Profesa ni fala tu mbele ya mwanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…