Pre GE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
se
ma prof urassa makala ndefu sana umeiandka kwa uongo wa et wananchi wa mosh
 
Naona maprofesa waendeleze taaluma zao kuliko kujiingiza kwenye siasa. Mataifa yaliyoendelea ni mara chache kumkuta professor mwanasiasa.
 
Jamaa ametengeneza ajira zaidi ya Serikali ya Mama Samia; sasa unataka asipitishwe na Boss wake kwasababu atakuwa juu yake.
Punguza uongo; 500m kwa ajili ya kuchukua fumu ya Ubunge...hizo pesa zinakatwaje Kodi na TRA
 
Habari imenichefua utadhani nina mimba changa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…