Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kawe mnafahamu jambo hili?

Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kawe mnafahamu jambo hili?

Wana jamvi, nawasalimu mchana huu na hongera kwa majukumu ya kulijenga Taifa letu pendwa.

Nimefanikiwa kusoma kitabu cha Halima Mdee mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Kawe kupitia Chama ch Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Kitabu chenye title TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA JIMBO LA KAWE 2015-2020, kitabu hiki kimejaa kona nyingi sana na giza nyingi kuanzia mwanzo mpaka mwisho wake. Kuna utekelezaji hewa, fedha zilizoelekezwa hazihakisi kabisa uhalisia wa kile kilichofanyika pamoja na miradi ya kusadikika.

Nina uhakika kabisa mtu aliyemshauri Halima Mdee kuandaa kitabu hicho alijua kuwa hajafanya chochote na ndio njia ya kumuonesha kwa wananchi wamjue tunapoelekea kwenye uchaguzi; asante sana muandaaji na mshauri kwa kutuokoa na kirusi hiki tulichoishi nacho kwa miaka 10.

Kelele nyingi zinazopigwa na wabunge wa upinzani zinaonekana kuwa za kweli lakini kama utekelezaji ni wa namna hii, basi huenda wapinzani wakawa ni hatari sana kuliko mtu yeyote yule.

Namalizia summary ya kitabu hiki na nitaileta kwenu moja kwa moja

Mzalendo wa Kweli
Kawe-Mikoroshini
Mimi sio Chadema lakini gwajima zile kauli zake na vitisho vyake dhidi ya waislamu na uislam afadhali huyu binti Mara elfu
Labda bint hatatuletea mwendeleo lakini miskiti na madrasa zetu zitakua salama milele
Gwajima be yourself onyesha chuki zako usifiche kila mtu anahaki ya kupenda na kuchukua amtakae
Mbona Trump anasema wazi
I hate muslims na haogopi na anakua rais
Wana jamvi, nawasalimu mchana huu na hongera kwa majukumu ya kulijenga Taifa letu pendwa.

Nimefanikiwa kusoma kitabu cha Halima Mdee mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Kitabu chenye title TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA JIMBO LA KAWE 2015-2020, kitabu hiki kimejaa kona nyingi sana na giza nyingi kuanzia mwanzo mpaka mwisho wake. Kuna utekelezaji hewa, fedha zilizoelekezwa hazihakisi kabisa uhalisia wa kile kilichofanyika pamoja na miradi ya kusadikika.

Nina uhakika kabisa mtu aliyemshauri Halima Mdee kuandaa kitabu hicho alijua kuwa hajafanya chochote na ndio njia ya kumuonesha kwa wananchi wamjue tunapoelekea kwenye uchaguzi; asante sana muandaaji na mshauri kwa kutuokoa na kirusi hiki tulichoishi nacho kwa miaka 10.

Kelele nyingi zinazopigwa na wabunge wa upinzani zinaonekana kuwa za kweli lakini kama utekelezaji ni wa namna hii, basi huenda wapinzani wakawa ni hatari sana kuliko mtu yeyote yule.

Namalizia summary ya kitabu hiki na nitaileta kwenu moja kwa moja

Mzalendo wa Kweli
Kawe-Mikoroshini
 
Mwaka huu sisi tumeshasema Tunaenda na Gwajima wengine wakapumzike TU ,tuliwapa mda wa kutosha wakashindwa
 
Bora tusiwe kabisa na mbunge kuliko Gwajima
 
Unachokosea mtoa mada ni kwamba huwajui wanakawe kabisaaaa. Pamoja na jitihada zote ulizozifanya na comments nyingi zinaonekana kaandika mtu mmoja, lakini sisi wanakawe tunajua sana kuwa mbunge wala hana uwezo wa kujenga barabara na ndio maana barabara zinajengwa na serikali kwakuwa ndo inayokusanya kodi. Kampeni kama hizi zinawafaa sana wale waumini wa Gwajima wanaoamini mchungaji wao anfufua watu hata hivyo bahati mbaya sana waumini wale asilimia kubwa hawatoki jimbo hili mzee. Wanatoka hukohuko Gongo la mboto
 
Ni mtazamo wako lakin skulaumu [emoji57]ila kuacha chuki na ibinafs kama umemfuatilia Gwajima utajua uwezo wake jamaaa yuko vzuri hizi sasa umeshamaliza kuzitembelea kata zote 10 nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaaa
Kweli mzee umeamua. Mtaani kwetu alikuja akakutana na watu wanaojitambua, alipata wakati mgumu sana na Jumapili iliyofuata alitakiwa aje maalumu kwaajili ya kampeni alishindwa kabisa kutokea badala yake akaja yule mtaliano anayegombea udiwani
 
Mtu mishipa imemtoka anamtetea Halima mwizi wa fedha za wananchi.

1.5trilion alikwapua Mdee?

CAG Asad alifukuzwa kazi na Mdee?

CAG amezuiwa na Mdee kufanya UKAGUZI kwenye MAENEO yenye MATUMIZI MAKUBWA YA FEDHA ZA UMMA?
 
1.5trilion alikwapua Mdee?

CAG Asad alifukuzwa kazi na Mdee?

CAG amezuiwa na Mdee kufanya UKAGUZI kwenye MAENEO yenye MATUMIZI MAKUBWA YA FEDHA ZA UMMA?
Mzee usiahangaike kumjibu Gwajima. Ufahamu wake ndo umefikia mwisho hapo
 
Ukweli n kwamba Gwajima anawapasua kichwa sana wapinzani hasa Halima maana ngoma imegeuka sasa nan atacheza me yangu macho nasubiri tu 28
 
Naona zote Id mpya mmekuja kujazana ujinga tu.
Umeligundua hilo mkuu! Nimepoteza muda kuangalia historia za wachangiaji washambulizi. Wote nilio angalia ni members walio jiunga Juni-sept 2020. Why?
Hayo ndiyo yale ya kule Twitter ambako timu ya Gwajiboy ilivamia na slogan ya "tuinuane" ili wakianza kumtetea MTU wao wasomeke na wengi, wakashtukia na kula block za kutosha sasa bado JF.
Labda tujiulize Gwajiboy na watu wake mbona wamejipanga muda mrefu kuingia bungeni kupitia Kawe kwa kutumia mbinu chafu?
Aina ya mbunge kama Halima ni very rare kupatikana hivyo ni bahati kwa Kawe kuwa naye. Halima hata kama Lissu atashinda urais ikifika suala la serikali kuonea wananchi lazima watazinguana tuu maana hana unafiki wala tabia ya kusema NDIYOOO penye HAPANA.
Kuna mambo Halima anaweza kuwa kashindwa kutekeleza Kawe, lakini wananchi tunajuwa kuwa alikuwa anapambana na serikali ya aina gain hasa ambayo iko radhi kuumiza wananchi kwa sababu haimpendi mbunge wa eneo hilo.
Ni wajibu kuiadhibu serikali ya chama hicho kwa kuitoa madarakani kuliko kuipigia magoti tena miaka mitano kwa sababu yenyewe imetupigia magoti kwa siku moja.
IMG_20201001_031244.jpg
IMG_20201001_031952.jpg
 
Uliposikia Safari ya Marekani ukaona Bora hiyo, Kuliko Safari ya Mbinguni.

Sawa endeleeni kusikiliza porojo za Gwajiboy tapeli.

Sie tunamuunga mkono Mdee , Kama ni maendeleo basi jimbo la Kongwa anapotoka Ndugai lingekuwa balaa.

Fika huko uone hata Maji ni shida.
Huyo Mdee ndio tapeli wa kutupa na mnalijua hilo

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Nyie gwajiboys mmepewa hela nyingi na askofu wenu ili kumchafua Halima tunajua mpango mzima, hakika gwaji hapiti hapa.
Wanakawe tunajua vizuri sana kuliko unavyofikiria. Mwaka huu hatukosei tena kumpa Mdee hajasaidia Jimbo kabisa.
 
Kazi ya mbunge sio kusaidia Jimbo
Wanakawe tunajua vizuri sana kuliko unavyofikiria. Mwaka huu hatukosei tena kumpa Mdee hajasaidia Jimbo kabisa.
 
Back
Top Bottom