Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi busy kupambana na aliepeponi mwa Ibrahim.Hutosikia wapinzani wakipaza sauti... bado wapo bize na Jiwe sijui Mwendazake
Hao wahuni itakuwa walijikoki na AK47 ,,Hao wananchi walikuwa wapi wakati nyumba zao zinavunjwa?
Wangekufa na hao wavunjaji iwe fundisho kwa wangese wengine.
Wanawaachia wavunjaji mnafikiane!!!Hutosikia wapinzani wakipaza sauti... bado wapo bize na Jiwe sijui Mwendazake
Kwa uwingi wao wasingeshindwa,tatizo la watz wengi ni uoga wa kindezi.Hao wahuni itakuwa walijikoki na AK47 ,,
Mkuu angalia na hao wazee walivyo lkn watz hatuna tabia ya amshaamsha kwenye mambo yanagusa maisha yetuKwa uwingi wao wasingeshindwa,tatizo la watz wengi ni uoga wa kindezi.
Mshika AK47 angepasuliwa pumbu endapo wananchi wangewakaza.
Hatakuwepo KIPINDI cha Magufuli mtanzania mwenye maonoKwani wanapokuwa wanajenga mpaka wanamaliza wahusika ambao ni serikali wanakuwa hawaoni ?
Basi wapaze sauti tena kwenye hili... mama ni msikivu atawasikia round hii jiwe hayupoWapaze sauti waseme kwamba hazijavunjwa au?
Unakumbuka Mnyika pale kimara alokwambia Jiwe angalau awalipe walionomolewa nyumba zao unakumbuka majibu aliyoyatoa?
Kwanini kila tatizo kunapotokea mnawalaumu hao jamaa na wanapoongea mnasema wamedandia hoja au hawana hoja? What do you guys need th m to do?
Mbona mnakuwa saddists kiasi hicho
Za kimara zimevunjwa na Magu.. za kibaha ni wasiojulikana... Hivi wanasiasa wanafanya siasa au wanafanya chuki?Yule mjinga alivunja mwenyewe lkn hizi za Kibaha zimevunjwa na wasiojulikana
Uhuni mtupu"MTANIKUMBUKA SANA, SI KWA MABAYA BALI KWA MAZURI, alisema baba mmoja huku akienda zake. Unaweza kuta bwa Kadri wala sio raia wa nchi hii ni hao wawekezaji wanaoletwa na chief Hangaya. Nchi ngumu sana hii
Ccm Hii HiiMtanikumbuka
Watanyooka sana.Huu ni uhuni wa awamu ya 6!
Utaratibu ni kutoa notice, wamefanya hili sababu kungewekwa zuio la mahakama wasingeweza kuvunja. Awamu hii wanyonge mtanyooka kmmmk.