PreGE2025 Wananchi wa kijiji cha Manga, Bumbuli wamemshukuru mbunge january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wananchi wa kijiji cha manga kata ya funta halmashauri wilaya ya bumbuli wamemshukuru mbunge wa jimbo hilo january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji iliyokuwa ikiwakabili

Hayo yamejiri wakati wa zihara ya mbunge wa jimbo hilo ambapo wananchi wamesema walikuwa wakifuata maji umbali mrefu hali ambayo ilikuwa ikiatarisha maisha yao.

Kwa upande wake kaimu meneja wa maji vijijini RUWASA wilaya ya Lushoto Charles Boi amesema mpaka sasa wamejipanga kuimarisha hali ya upatikanaji wa maji na kuwaondoa wananchi katika changamoto ya upatikanaji wa maji.
 
View attachment 3279561
Waishukuru idara ya maji
 
Back
Top Bottom