Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 2,049
- 5,449
Hongera sana wananchi na kanisa la KKKT. Barabara inayotengenezwa sio straight line road Moja ni muunganiko wa feeder road way za mitaa mingi ambazo wanaishi watu huko vijijini na kuunganisha na barabara kuu.Ila hapo pa km 72 Ndio utata
Kodi zinaenda wapi? hapo hapo ukifanyika ukaguzi wa CAG unakuta hio hapo Halimashaur Bilion 3 au 4 hazijulikani zilipo. Haya ndio mambo yanafanya watawala waendelee kutuona wajinga, Haiwezekani tunalipa kila aina ya ushuru na bado huduma tuchangishane.Hiyo barabara ni kwa hitaji lao, so wastop bevause kodi zinakwenda kwingine? Nope?
Ni ijungaa bado nasisitiza kodi zunatumika wapi?; haya yakiendelea kuna siku Raia wataambiwa wachangishane wawalipe watumishi wa umma mishahara.Huu ni ujinga kodi zijenge Barabara haiwezekani.Hongera sana wananchi na kanisa la KKKT. Barabara inayotengenezwa sio straight line road Moja ni muunganiko wa feeder road way za mitaa mingi ambazo wanaishi watu huko vijijini na kuunganisha na barabara kuu.
Mkuu nakubaliana na wewe! Lakini anayeumia ni nani?Waige ufala? huu ni ufala mkubwa mno, pesa za kodi wanaagiza V8 Japani then za kukarabati Barabara hakuna, za kuwalipa Bongo Movie waende Korea zipo ila za Barabara hakuna. Za kugharamaikia kuendesha Ikulu mbili za Dar na Dodoma zipo ila za Barabara hakuna.
Za safari za nje zipo ila za Barabara hakuna.
Huu ni uzuzu yale yale ya kuchangishana kukimbiza ile kibatari.
Naheshimu maoni yako mkuu, ukiambiwa uchague ujinga wa kushirikiana na kujiletea maendeleo na werevu wa kuisubiri serikali ya CCM ikuletee maendeleo utachagua kipi?Ni ijungaa bado nasisitiza kodi zunatumika wapi?; haya yakiendelea kuna siku Raia wataambiwa wachangishane wawalipe watumishi wa umma mishahara.Huu ni ujinga kodi zijenge Barabara haiwezekani.
Nadhani ishu hapa ni contest, wananchi wanahitaji la barabara, serikali imeshindwa kutimiza on time, so wasijenge barabara hiyo sababu serikali ina matumizi mabaya ya kodi? Nani ataumia. Wao wenye uhitaji or serikali?Kodi zinaenda wapi? hapo hapo ukifanyika ukaguzi wa CAG unakuta hio hapo Halimashaur Bilion 3 au 4 hazijulikani zilipo. Haya ndio mambo yanafanya watawala waendelee kutuona wajinga, Haiwezekani tunalipa kila aina ya ushuru na bado huduma tuchangishane.
Hakika wachagga walikuwa wamelala, huku wazaramo walishaamka miaka mingi sana.Safi sana na wanafuata nyayo za Mwanza, tena Mwanza wanazijenga kwa kiwango cha mae. Barabra wanazojenga wananchi huko zinaubora kuliko za tarura.
Wachaga walikuwa wamelala, ni heri sasa wanaanza kuamka. Utakuta mkuu wa Mkoa huko siyo mchaga, kawazindua.
Kodi zinaenda wapi? au ni kwa ajili ya matumizi ya anasa ya watawala? huu ujinga yaani Raia wanalipishwa kodi kwa kila kitu wanacho tumia, unasikia TRA imevuka malengo then ghafla Serikali haina pesa hapo hapo unaona Magari latest Barabarani.Safi sana na wanafuata nyayo za Mwanza, tena Mwanza wanazijenga kwa kiwango cha mae. Barabra wanazojenga wananchi huko zinaubora kuliko za tarura.
Wachaga walikuwa wamelala, ni heri sasa wanaanza kuamka. Utakuta mkuu wa Mkoa huko siyo mchaga, kawazindua.
Sio walisha amka, ni ujinga plus uzezeta, Ndio vitu vinafanya watawala wagongeane glass za wine make wanajua fika wana uhakika wa Raia kujihudumia wenyewe hivyo wanapata nguvu za kupiga pesa za umma.Hakika wachagga walikuwa wamelala, huku wazaramo walishaamka miaka mingi sana.
Inashindwa vipi kutimiza on time? Mbona Barabarani kumejaa Magari Bland mpya za Serikali?Huu ujinga haupaswi kuendelea kuwepo.Nadhani ishu hapa ni contest, wananchi wanahitaji la barabara, serikali imeshindwa kutimiza on time, so wasijenge barabara hiyo sababu serikali ina matumizi mabaya ya kodi? Nani ataumia. Wao wenye uhitaji or serikali?
Nafikiri kuna uhitaji vs siasa. Hili halihitaji poolitics, kitu nimependa mbunge hana taarifa, hajui nini kinaendelea, kwa kwa Taarifa kimei kurudi jimboni kwake next round ni ngumu. Hana ushirikiano
Nauliza Raia wanalipa kodi au hawalipi? Sikiliza hii nchi imejaa mazezeta. Kodi tulipe na tutangaziwe na CAG kabisa kwamba pesa Mabiliona hadi 500 yamepigwa, then tuje na ukondooo wa kuanza sasa kijiletea maendeleo wenyewe? Hao raia si wanalipa Kodi daily?Naheshimu maoni yako mkuu, ukiambiwa uchague ujinga wa kushirikiana na kujiletea maendeleo na werevu wa kuisubiri serikali ya CCM ikuletee maendeleo utachagua kipi?
Mkuu BLACK MOVEMENT unahoji maswali mazuri sana, ila unafeli sana unapokuwa mlalamishi na hutoi suluhisho way forward nini kifanyike.Inashindwa vipi kutimiza on time? Mbona Barabarani kumejaa Magari Bland mpya za Serikali?Huu ujinga haupaswi kuendelea kuwepo.
Raia wanapaswa kuhoji pesa zao ziko wapi, wasipo hoji matokeo yake ndio haya. Wanao piga pesa za Umma wanasamehewa, raia wanapaswa kuuliza whay wanasamehewa ilihali wao wanachangishana kujenga Barabara. Tusipo uliza Serikali maswali magumu haya yataendelea karine na Karine.Mkuu BLACK MOVEMENT unahoji maswali mazuri sana, ila unafeli sana unapokuwa mlalamishi na hutoi suluhisho way forward nini kifanyike.
Mission yoyote, movement au harakati za kweli lazima ujue nini unataka kufanya, jinsi ya kufanya, gharama zake na hatima yake. Ukishaanza kulalamika basi umesha feli mazima.
Hii nchi imejaaa wahuni sana, huu ujinga naujua sana, Raia wanajitolea kujenga Barabara au sujui Kalavati, baadae zinatolewa pesa, zile pesa zinapigwa na kwenye report wanaandika ni Serikali ndio imejenga.Mkuu BLACK MOVEMENT unahoji maswali mazuri sana, ila unafeli sana unapokuwa mlalamishi na hutoi suluhisho way forward nini kifanyike.
Mission yoyote, movement au harakati za kweli lazima ujue nini unataka kufanya, jinsi ya kufanya, gharama zake na hatima yake. Ukishaanza kulalamika basi umesha feli mazima.
Watu wengi wanajua Moshi ni rami tupu.
Kama hamlipi kodi yes igeni, ila kama mnalipa kodi, uliza hizo kodi zenu zinafanya nini,Hii inapaswa kufanyika endapo Kodi hazilipwi kabisa.Sisi wa Mikoa mingine tunaruhusiwa kuiga hayo mazuri??
Sio jambo baya kujifunza Kwa aliyefanikiwa kukuzidi 🤗