instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Hujajibu hoja yangu wala kuichallange.Acha ujinga wewe!
Ngoja nikuache
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu hoja yangu wala kuichallange.Acha ujinga wewe!
Kodi tulipe wapelekwe wasaini Korea?Safi kabisaa. Hiyo ndio dhana halisi za siasa ya ujamaa na kujitegemea. Naimba mfano huu uchukuliwe kwa watanzania wote, wajue maendeleo watajiletea wenyewee.
Tofauti iko wapi kati ya mambo ambayo wananchi wanawajibika “kujiletea maendeleo wenyewe” na hayo majukumu ya serikali?Jukumu la serikali kwa wananchi ni maeneo mengi saana, mfano, amani, ajira, kupandisha madaraja watumishi, kujenga vituo vya afya na kusambaza huduma mbalimbali katika jamiii, kama vile umeme shule n.k, n.k
Kodi na mikopo zinaenda wapi?Binafsi napongeza juhudi hizo! Natamani mikoa yote Tanzania iige hivyo.
Hapa sasa Serikali ambacho ingefanya ni kuwaunga mkono kwa kumalizia na rami.
Hapa Dar kama wakazi wangefunguka wakaiga mfano huo kusingekuwa na vilio vya barabara wakati wa mvua!
Sorry, hukunielewa kabisa. Sijahoji uzuri au ubaya wa walichofanya hao wananchi.Nakwambia hao jamaa wa huko Kilimanjaro ni akili kubwa sana, ungewaelewa usiandike hayo.
Kukupa mwanga tu, issue iko hivi. Serikali ni watu, na ukitaka kuwawin wasome walivyo na wanavyofanya mambo yao. Hao wachaga baada ya kujichangisha pesa walienda TARURA, na huko TARURA kwa aibu ikabidi waunge mkono juhudi zao! Wewe endelea kusubiri serikali ikulteee maendeleo tu.
Watafanya nini sasa?!
Changamoto ya ubovu wa miundombinu ya barabara katika eneo la Kiruweni, Kata ya Mwika Kusini, Wilaya ya Moshi, imewalazimu wananchi wa eneo hilo waishio maeneo mbalimbali nchini kuchangishana fedha na kuanza ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 72 kwa kiwango cha changarawe.
Eneo hilo ambalo wananchi wake wanajishughulisha na uzalishaji wa ndizi na kilimo cha mazao mbalimbali, limekuwa na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara.
Hali hii imewalazimisha kusafirisha mizigo kwa kichwa hadi sokoni, hivyo kushindwa kufikia ndoto zao za kujikwamua kiuchumi.
Chimbuko la wazo la ujenzi wa barabara lilianzia katika Usharika wa Kiruweni wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), baada ya mvua kubwa zilizonyesha mwishoni mwa Machi na Aprili, 2024.
Mvua hizo zimesababisha barabara hizo zishindwe kupitika kwa vyombo vya usafiri, zikiwamo pikipiki.
Akizungumza kuhusu ujenzi huo, Mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Kiruweni, Joram Mamuya amesema barabara hizo zimefikia hatua mbaya na kufanya wananchi kushindwa kutumia vyombo vya usafiri na hivyo kulazimika kubeba mazao yao kichwani kuyapeleka sokoni, huku wakitembea umbali mrefu.
Ndivyo alivyoaminisha taifa yule jamaa aliyeishia 2021! Akaamua awabague na kujenga usukumani tuWatu wengi wanajua Moshi ni rami tupu.
Kilometer 7.2Ila hapo pa km 72 Ndio utata
Kodi yako unaila kwenye mishahara ya walimu, manesi madaktari wanajeshi n.k, n.kKodi tulipe wapelekwe wasaini Korea?
Kodi yako wewe mwannchi inalipa mishahara ya watumishi wa umaa wanaotuhudumiaTofauti iko wapi kati ya mambo ambayo wananchi wanawajibika “kujiletea maendeleo wenyewe” na hayo majukumu ya serikali?
Kubwa zaidi, uhusiano kati ya wananchi na serikali yao unatakiwa kuwaje?
Kuhusu Usangi na Ugweno kuwa na shughuli nyingi za kichumi au population kubwa kwa wilaya ya Mwanga hiyo kitu HAPANA, na sio sahihi kwa 100%. Nitakujibu kitakwimu hapa kutumia takwimu za serikali.Excellent!
Wrong!
Wilaya ya Mwanga ipo milimani ' Ugweno na Usangi' ambako kuna population kubwa sana na shughuli nyingi sana. Hospitali ya Wilaya ipo Usangi. Shule nyingi za sekondari zipo milimani. Kumbuka kuna kilimo cha ndizi, kahawa, Iliki n.k. Kwa ufupi pale Mwanga unapopaona ni kwasababu ya ''convinience'
Lami kwenda Ugweno na Usangi si upendeleo ni kwasababu ya shughuli za kiuchumi za Wilaya.
Wilaya ya Mwanga pale barabarani ni Lami ya barabara kuu hakuna kitu kingine.
Nimekueleza kwamba Wilaya imewekwa pale Mwanga ili kupunguza umbali na watu wa Bondeni kuanzia Nyumba ya Mungu, kuja Lembeni hadi Same na watu kutoka Lake Jipe hadi Njia panda.
Wilaya ilipaswa kuwa katika maungano ya Usangi na Ugweno lakini pia walizingatia maeneo ya Bondeni ikaamuliwa ijengwe pale Barabara kuu ya Moshi-Arusha
Kuhusu Same, ni Wilaya iliyodumaa kwasababu tangu Mkoloni imekuwa Wilaya na Boma.
Harakati za kupinga kodi '' Kodi ya Mbiru' dhidi ya Wajerumani ilifanyika Boma Same wakati huo ikiwa pamoja na Mwanga. Kwahiyo haikutakiwa iwe kama ilivyo. Same ni sawa na Korogwe , Wilaya Kongwe sana nchini zilizodumaa. Tukipata Uhuru Korogwe ilikuwa ''Town council''
Population! milimani ni Ugweno na Usangi ni densely populated.Kuhusu Usangi na Ugweno kuwa na shughuli nyingi za kichumi au population kubwa kwa wilaya ya Mwanga hiyo kitu HAPANA, na sio sahihi kwa 100%. Nitakujibu kitakwimu hapa kutumia takwimu za serikali.
1. Ugweno na Usangi ni tarafa mbili tu, wakati wilaya ya Mwanga ina tarafa tano. Tarafa zingine ni Jipendea, Mwanga na Lembeni.
Kata zinatengwa 'for admin activities'' . Hivi kwa mfano, unalinganisha vipi kata ya Lembeni na Ugweno? au Mpendae na Usangi? Kuna kitu una miss hapa. Maeneo ya Mwanga, Same, Rombo na Hai nayafahamu vizuri sana si kupita barabarani2. Wilaya ina jumla ya kata 19 (wakati Ugweno na Usangi kuna kata 8), hivyo kata nyingi haziko milimani.
Wakazi wa Ugweno na Usangi wameondoka wapo mijini. Mfano, Arusha, Moshi, Tanga , Dar es Salaam na kwingineko. Hao unaosema ni Familia hasa za Wazee . Trust me, hebu temebelea nyakati za shughuli za kidini iwe Eid au Krismas uone population unayoelekea huko.3. Wilaya kwa sasa ina idadi ya watu inayofikia 148,000, na waliopo Ugweno na Usangi ni pungufu ya watu 40,000/=. Hivi huwezi tena kuwa na shule nyingi, maana wanafunzi watatoka wapi? Hata shule za private tunaelezwa nyingi zimekufa au kudorora mnoo (kuanzia sijui minja, shighatini, Kiriki, Lomwe, Usangi girls), vyuo vilishakufa kama chuo cha ualimu usangi, chuo cha ufundi usangi nk.
Pengine si kwa kiwango cha zamani lakini zipo shughuli, temmbelea magulio ya Mwanga, Njia panda hata Moshi uone bidhaa za milimani.4. Hakuna kahawa wala ndizi zinazolimwa kibiashara kutoka huko milimani (Usangi na Ugweno), imebakia migomba ya ndizi za chakula nyumbani. Kahawa na ndizi sio zao la biashara kwa wilaya Mwanga. Kahawa ni historia, ndizi ni chakula.
Si kweli, kuna samaki kiasi gani kutoka Nyumba ya Mungu katika kiwango cha uchumi?5. Uchumi wa wilaya ya mwanga unategemea hizi shughuli, na hizi shughuli kwa 99% hazipo kabisa Usangi na ugweno.
-Uvuvi wa samaki wa bwawa la nyumba ya Mungu, ambalo liko tambarare
Hawa wanahama baina ya Wilaya huwezi kusema ni wakazi wa Mwanga. Wengine hufuata malisho Simanjiro, Mkomazi , Same hata Gonja. Naelewa haya kwa uzoefu si kusoma-Mifugo (hawa ni wamasai waliopo tambarare)
Yes zimejengwa Wilayani lakini jiulize wateja wanatoka wapi? Ukikata mawasiliano na Milimani ' Ugweno na Usangi'' hakuna Wilaya ya Mwanga! nitty gritty!-Biashara za mijini (Maduka, hoteli, migahawa, bars, vituo vya mafuta, mabenki) ambazo kwa zaidi ya 90% ziko Mwanga mjini.. Machimbo ya mchanga.
Haiondoi ukweli kwamba Hospitali ya Wilaya ipo Usangi. Hii imekuwepo kama Gov Hospitali kuanzia zama za mkoloni. Kujenga Bondeni ni kurahisha huduma kwa watu wa Bondeni kwasababu Mwanga ni kati kati.Hata Hospitali kubwa ya wilaya kwa sasa nasikia imejengwa Mwanga mjini.
Hakuna taa za barabarani, unachokiona ni taa za makazi ya Watu.Narudia kuandika hapa, zile barabara za lami na zile taa za kisasa za usiku barabarani kule milimani zimewekwa kisiasa tu, kwa ushawishi na heshima ya wale wazee na mabregadia waliowahi kuendesha hii nchi na sio kwa sababu nyingine yoyote. It is for loyal and pride.
Kuwa mkweli.Population! milimani ni Ugweno na Usangi ni densely populated.
Kata zinatengwa 'for admin activities'' . Hivi kwa mfano, unalinganisha vipi kata ya Lembeni na Ugweno? au Mpendae na Usangi? Kuna kitu una miss hapa. Maeneo ya Mwanga, Same, Rombo na Hai nayafahamu vizuri sana si kupita barabarani
Wakazi wa Ugweno na Usangi wameondoka wapo mijini. Mfano, Arusha, Moshi, Tanga , Dar es Salaam na kwingineko. Hao unaosema ni Familia hasa za Wazee . Trust me, hebu temebelea nyakati za shughuli za kidini iwe Eid au Krismas uone population unayoelekea huko.
Tena Wachaga wanasingiziwa sana nyakati kama za Krismas, ukweli ni kuwa wanaokwenda Kilimanjaro ni Wachaga na Wapare, kwa uelewa kidogo watu wanadhani kila wa K'Njaro ni Mchaga
Kigezo cha population si kweli
Pengine si kwa kiwango cha zamani lakini zipo shughuli, temmbelea magulio ya Mwanga, Njia panda hata Moshi uone bidhaa za milimani.
Si kweli, kuna samaki kiasi gani kutoka Nyumba ya Mungu katika kiwango cha uchumi?
Hawa wanahama baina ya Wilaya huwezi kusema ni wakazi wa Mwanga. Wengine hufuata malisho Simanjiro, Mkomazi , Same hata Gonja. Naelewa haya kwa uzoefu si kusoma
Yes zimejengwa Wilayani lakini jiulize wateja wanatoka wapi? Ukikata mawasiliano na Milimani ' Ugweno na Usangi'' hakuna Wilaya ya Mwanga! nitty gritty!
Haiondoi ukweli kwamba Hospitali ya Wilaya ipo Usangi. Hii imekuwepo kama Gov Hospitali kuanzia zama za mkoloni. Kujenga Bondeni ni kurahisha huduma kwa watu wa Bondeni kwasababu Mwanga ni kati kati.
Hakuna taa za barabarani, unachokiona ni taa za makazi ya Watu.
Wape maua yao, katika Wilaya ya Mwanga hasa Ugweno na Usangi kitu kinachoitwa nyumba ya nyasi ni kwa ajili ya mifugo. Wapeni maua yao, wale watu wamejitahidi kujiletea maendeleo
Hizo barabara za lami unazosema zimejengwa na Wananchi si serikali. Kilichofanyika ni kuweka lami l
Nyerere akidai uhuru alikuja na kukuta watu wanajenga barabara zao tena miaka zaidi ya 40 kabal ya Uhuru kwa kutumia Machifu wao wa Ugweno na Usangi. Msaragambo!
Ni hivi Nyerere alikwenda kudai Uhuru na alihutubia Usangi na Ugweno. Mwl alikwenda kwa gari akipita juu ya barabara iliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kwa njia ya Msaragambo miaka mingi kabla ya Uhuru.Kuhusu ujenzi wa barabara ya lami, hakuna wananchi waliwahi kujenga hata robo kilometa, lami yote imejengwa kwa pesa za serikali kwa 100%. Na hii ni nchi nzima. Barabara za lami zinajengwa na serikali tu unless hiyo barabara isiwe ya umma, iwe barabara ndani ya eneo lako maalum.
Ipo kama Ulaya, KNCU walianza kujijengea wenyewe barabara kabla ya uhuru...asilimia 60% ya mkoa wa Kilimanjaro ni wilaya za Same na Mwanga. Je, hali ya maeneo hayo kimiundombinu ikoje?
Kuwa "mkweli", wachaga walijenga barabara huko kabla hata ya Mjerumani kuja.Ni hivi Nyerere alikwenda kudai Uhuru na alihutubia Usangi na Ugweno. Mwl alikwenda kwa gari akipita juu ya barabara iliyojengwa kwa nguvu za Wananchi kwa njia ya Msaragambo miaka mingi kabla ya Uhuru.
Barabara kutoka Mwanga ilijengwa kwa njia ya kujitolea watu wakiongozwa na Machifu wao
Kuna tatizo gani kuweka lami juu ya barabara iliyojengwa na Wananchi kabla ya Uhuru?
nimetembea sana hii nchi, tunawaonea wivu tu wakazi wa K'njaro, waliwekeza katika maendeleo yao
Barabara imejengwa CD Msuya hajazaliwa lakini utasikia alijenga yeye! Tuwape maua yao Wananchi wa Kilimanjaro. Hao Kiruweni mi mfano tu!
Ipo kama Ulaya, KNCU walianza kujijengea wenyewe barabara kabla ya uhuru.
Hivyo ndivyo wanavyojidanganya.