Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

Ndugai safari hii hata akitumia mahela mengi hapiti!!! Waache wagogo wale hela zake.
Mkuu huyu mtu hela yake hailiki huwa anali fimbo dizaini hivi akikupiga nalo usipozima wewe mwanaume au kama mwanamke basi wewe mwanamke kweli.
 
Wanakongwa walishajiapiza Ndugai harudi bungeni, Sasa anakula dili na akina Mwambe amewakingia kifua wabaki bungeni kwa sharti la kugawana mapato 50/50
 
Afrika bhana utataka usikilizwe wewe halafu wenzako wskikanyaga bonge la kesi.
 
Acha kuleta viclip vilipendewa wewe! Kama umekosa habari kaa tulia.
 
Ndugai a.k.a Mbowe hakuna kitu amefanya Kongwa zaidi ya kuwa kati ya wabunge mizigo kabisa na kuaibisha bunge kwa kupeleka visasi binafsi.
 
G Sam,

Nasikia pia huko Wilaya ya Hai, Mwenyekiti wenu hali yake mbaya sanaa, cheki hii clip alikataliwa live akiwepo miezi 3 iliyopita👇 Polisi walisaidia kumtoa Mh. Mbowe, maana vurugu kubwa zingezuka, ila bado wapinzani hawaoni kazi ngumi ya usalama wa raia na mali zao polisi wanayofanya nchini.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…