Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Utajaza mwenyewe ili mradi tumesikia kuwa Ndugai kakataliwa mbele ya raisMbona ya mwaka 47?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajaza mwenyewe ili mradi tumesikia kuwa Ndugai kakataliwa mbele ya raisMbona ya mwaka 47?
Naona JPM Kamfunika hapo ndugai kiaina. Kwamba sitamtuma kwa sababu ni spika
Mkuu huyu mtu hela yake hailiki huwa anali fimbo dizaini hivi akikupiga nalo usipozima wewe mwanaume au kama mwanamke basi wewe mwanamke kweli.Ndugai safari hii hata akitumia mahela mengi hapiti!!! Waache wagogo wale hela zake.
AtateuliwaUna maanisha ndugai hatashinda?
Huo wa Ndugai ndio ubeberu wenyewe. Tofauti yake na wa ulaya ni rangi na ufupi wake.Hakuna haja ya kumchagua tena mtu ambaye haeshimu hata katiba ambayo aliapa kuiheshimu ni bora kuongozwa hata na mabeberu kuliko watu wa type hii.
Una maanisha ndugai hatashinda?