Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

MKUU PAMOJA NA YOTE UTASHANGAA ANASHINDA UCHAGUZI TENA KWA KISHINDO
 
Wananchi wa Kongwa wamemkataa Mbunge wao ambaye Ni Spika Mbele ya Rais JPM Huu ni Ujumbe tosha kwamba Wabunge wa CCM wanabebwa na Dola.

Ndio ubaya wa kupambana na watu wanaowaonyesha mabaya, Jana wananchi wamemkosa kosa makofi Naibu waziri Mwanza, leo wamesema hatumtaki Mbunge ambaye ni spika, Matatizo ya wananchi yasipofanyiwa kazi challenge zitaongezeka hata kama watu watanyamaza kukosoa
 
Safi sn kazi yake kuu bungeni ni kukandamiza wale wanaotoa kero za watz anawaacha wale wajaza matumbo kwa posho huku wakiwa hawana faida yoyote.

Yeye ndio msemaji na mtetezi wa serikali bungeni na hajawahi kumtetea mwananchi hata siku moja
Pathetic
 
Ndugai safari hii hata akitumia mahela mengi hapiti!!! Waache wagogo wale hela zake.
Ndungai mpaka sasa keshashinda tano bila.
Jimbo la Hai Mbowe hawezi kurudi bungeni.watu wa hai wamechosnwa na utendaji mbovu wa Mbowe.
 
Raia siyo wajinga kwa sasa, wanakuona ndani ya magari ya kifahari tena ukisindikizwa kama mfalme, wao huduma za kijamii tu hawana! Wafikiri watakupa ulaji tena?!
 
G Sam,

Kimenuka. Yalitokea kwa waitara, sasa ni Ndugai. Sasa waendelee kusema wanapendwa. Wao wanajua tu kuwakomoa wapinzani, lakini sasa wapinzani wanatoka ndani ya CCM.

Si ajabu ukasikia waliotaka kumpiga Waitara na hao waliomkataa Ndugai ni Chadema, na utasikia jeshi la policcm linawasaka kwa uvunjivu wa amani.
 
Laana ya kumpiga mpinzani wake na fimbo kichwani haitomuacha salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…