Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndungai Anawakataa Wabunge Wa @ChademaTz ,Afu Yeye anakataliwa na Watu Huru wa Jimbo la Kongwa- Dodoma kwa Wingi wao Wamemkataa Mchana ,Mbele ya Rais na Vyombo vya Habari Mbasharaa😀😀😀😀😀. Vitus Nkuna on Twitter
Kwa mtiti wa leo wamesahau!!Sio ajabu hata hai wamemkataa MBOWE au umesahau?
Aliwahi kumtandika mtu gongo la kichwa hadi almanusura afe!Inasadikika ndugai bila kubebwa hapo kongwa kura za maoni hatoboi
Atashinda njaa kwa goli ngapi?Atashinda njaa
Maneno yanaishi...Clip zilipendwa
Ndungai mpaka sasa keshashinda tano bila.Ndugai safari hii hata akitumia mahela mengi hapiti!!! Waache wagogo wale hela zake.
Atapita bila kupingwa nakuhakikishia, tume tayari itakuwa imejipanga na imepewa maelekezo.Aibu aisee, kazi kuididimiza chadema bungeni kumbe Jimbo lake limemshinda