KAYABOMBICHI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 296
- 142
Hawa wahuni wa Chadema walipenyaje mpk kumdhalilisha kwa mh rais bila kushugulikiwa !hatari sana hiiWale walikuwa wahuni wameandaliwa na Chadema
Lengo gani ovu ?Lililo na mwanzo lina mwisho.Rumi ilikuwa na nguvu lkn inaangushwa.Jambo wakuu!! Jana nimesikia mahali kua mh Rais alipita jimboni kwa Ndugai (speaker)na baada ya mazungumzo nao mafupi aliahidi kurudi pale na mh Ndugai lakini wananchi walikataa!! hii ni kweli? Km ni kweli inapeleka ujumbe gani kwa Rais na Spika mwenyewe?! Au nikikundi cha watu kilitengenezwa lengo ovu?
Kwa njia ya kura hawezi shinda. Labda kimkakati Kama kawaida yenu.Kwahiyo ndugai hatashinda?
Huwa wanaweka wagombea kwenye uchaguzi, wameshawahi kushinda urais?Mkuu Chadema hawashindwi kitu!
Kama mkakati wenyewe ndo hivi wameanza kufanikiwa sasa manake wameanza kufikisha ujumbe.Kwa njia ya kura hawezi shinda. Labda kimkakati Kama kawaida yenu.
Hakuna asiyependa maendeleo,Wagogo hawajitambui. Leo wanamkataa, kesho akienda watamshangilia!
Nafkiri ni jana!
Acha kujitoa fahamu kila mtu anataka mtoto wake asome kwenye shule yenye majengo mazuri, vyoo, madawati na walimu wa kutosha. Hilo ni moja ya mambo ambayo Speaker amefeli ku deliver kwenye jimbo lake tena akiwa Speaker.Wagogo na Maendeleo wapi na wapi manka?!!!
Yes hata uchaguzi huwa hawashindwi, kumbe hadi mataga mnajua hili?Mkuu Chadema hawashindwi kitu!
Maendeleo hayana kabila!Wagogo na Maendeleo wapi na wapi manka?!!!
Wewe ndio unaona amefeli lakini siyo Wagogo!Acha kujitoa fahamu kila mtu anataka mtoto wake asome kwenye shule yenye majengo mazuri, vyoo, madawati na walimu wa kutosha. Hilo ni moja ya mambo ambayo Speaker amefeli ku deliver kwenye jimbo lake tena akiwa Speaker.
Itakuwa clip ya zamani maana sijaona BARAKOA kabisa.
Duuh kwa mara ya kwanza unaikubari Chadema, Chadema tuko juuu juu juu zaidiMkuu Chadema hawashindwi kitu!
Na kweli haishindwi kitu na nawashangaa ccm wanapojaribu kupambana nayo.Mkuu Chadema hawashindwi kitu!
Nafkiri ni jana!
Yes hata uchaguzi huwa hawashindwi, kumbe hadi mataga mnajua hili?
Jambo wakuu!! Jana nimesikia mahali kua mh Rais alipita jimboni kwa Ndugai (speaker)na baada ya mazungumzo nao mafupi aliahidi kurudi pale na mh Ndugai lakini wananch walikataa!!
Je, hii ni kweli? Kama ni kweli inapeleka ujumbe gani kwa Rais na Spika mwenyewe?! Au nikikundi cha watu kilitengenezwa lengo ovu?
Na kweli haishindwi kitu na nawashangaa ccm wanapojaribu kupambana nayo.
Ndugai ni mzigo hata kwa wagogo wenzakE. CCM ina survive kwa msaada wa dola wananchi walishaichokaWale walikuwa wahuni wameandaliwa na Chadema