Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

Jambo wakuu!! Jana nimesikia mahali kua mh Rais alipita jimboni kwa Ndugai (speaker)na baada ya mazungumzo nao mafupi aliahidi kurudi pale na mh Ndugai lakini wananchi walikataa!! hii ni kweli? Km ni kweli inapeleka ujumbe gani kwa Rais na Spika mwenyewe?! Au nikikundi cha watu kilitengenezwa lengo ovu?
Lengo gani ovu ?Lililo na mwanzo lina mwisho.Rumi ilikuwa na nguvu lkn inaangushwa.
 
Acha kujitoa fahamu kila mtu anataka mtoto wake asome kwenye shule yenye majengo mazuri, vyoo, madawati na walimu wa kutosha. Hilo ni moja ya mambo ambayo Speaker amefeli ku deliver kwenye jimbo lake tena akiwa Speaker.
Wewe ndio unaona amefeli lakini siyo Wagogo!
 
Jambo wakuu!! Jana nimesikia mahali kua mh Rais alipita jimboni kwa Ndugai (speaker)na baada ya mazungumzo nao mafupi aliahidi kurudi pale na mh Ndugai lakini wananch walikataa!!

Je, hii ni kweli? Kama ni kweli inapeleka ujumbe gani kwa Rais na Spika mwenyewe?! Au nikikundi cha watu kilitengenezwa lengo ovu?

Huyu Mzee sijui kwanini kwao hawamtaki , hata mara ya mwisho walikuwa wamzomea na alibebwa kama kura zingekuwa haki haki , wapinzani walikuwa wanatangazwa pale sio jambo dogo kukataliwa mbele ya rais na JPM alisoma hadhira haraka sana akawabadilishia story, kiukweli kajitahidi sana ku cover up na story kuwa najua ni spika na ana mambo mengi nitakuja naye

Nadhani hata ujasiri wa Ndugai kupungua unatokana na ukweli kuwa anajuwa alishindaje .... na anamtumikia aliyemuweka pale

Kweli wagogo hawatabiriki Kama walishawahi hata kumkataa John Samwel Malecel.
Na kuna wakati Kibajaji akiwa chadema ni kama alishindahakutangazwa kabla hajahamia CCM akafanikiwa kumuangusha Malecela

Hata Jimbo kama dodoma mjini haawajawahi kumpa mbunge term mbili katika siku za karibuni ukiondoa Sagaf .
 
Back
Top Bottom