Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

Haya yaliyotokea kwa ndugai yangetokea kwa Mbowe, leo akina bia baridi wangekuwa bia za moto G Sam
 
Ndugali ni nguli wa uharibifu wa bunge kama spika,hana lingine la maana! Na kuonyesha alivyo dhaifu, Jiwe anawaambiwa wananchi atamtuma kwenda kuwasikiliza!
 
CCM wakimuweka Ndugai, jimbo linaenda upinzani,nashauri asipewe nafasi, amezeeka halafu anaumwaumwa, CCM ina damu changa nyingi, halafu akipigwa chini, itarahisisha kumpa uspika Tulia. Ackson
 
Jenga hoja kwa kujenga ukweli sio kupotosha

Leo Rais Magufuli amefanya ziara wapi?
Duu kuna watu wabishi duniani sijawahi ona. Kwani kila akitaka kufanya ziara lazima akujulishe wewe? Unless wewe kama ni Mama Janeth...Subiri kesho utakapoona job akijitetea Bungeni kama kawaida ya watu wenye vyeti Milembe huwa hawakubali kushindwa hata kwa jambo lililo wazi
 
MKUU PAMOJA NA YOTE UTASHANGAA ANASHINDA UCHAGUZI TENA KWA KISHINDO
Hawezi kushinda kihalali maisha yake yote labda aibe.. Na kama jimbo kama la kongwa imekuwa ivyo its obvious mwaka huu hawatoboi popote labda kwa kuiba. TUMEWACHOKA...
 
Mimi nakosa tu kipaza sauti,watu wa aina ya speaker wa bunge la awamu hii wapo wengi sana hawapaswi hata kupata kura za kuomba kuteuliwa ili wawe wagombea.

Na akitaka kupata ukweli wa wagogo ampeleke siku hiyo anayosema atakwenda naye ili akapate ukweli mtupu.

Hongera sana watu wa kongwa kwa kulitambuwa hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hawa wagogo wametupatia liwazo na kutufuta machozi sisi watanzania baada ya kuwalilia wabunge wengi walio nyanyasika kisa Ndugaye
 
Jambo wakuu!! Jana nimesikia mahali kua mh Rais alipita jimboni kwa Ndugai (speaker)na baada ya mazungumzo nao mafupi aliahidi kurudi pale na mh Ndugai lakini wananch walikataa!!

Je, hii ni kweli? Kama ni kweli inapeleka ujumbe gani kwa Rais na Spika mwenyewe?! Au nikikundi cha watu kilitengenezwa lengo ovu?
 
Jambo wakuu!! Jana nimesikia mahali kua mh Rais alipita jimboni kwa Ndugai (speaker)na baada ya mazungumzo nao mafupi aliahidi kurudi pale na mh Ndugai lakini wananch walikataa!! hii ni kweli? Km ni kweli inapeleka ujumbe gani kwa Rais na Spika mwenyewe?! Au nikikundi cha watu kilitengenezwa lengo ovu?
Wagogo hawajitambui. Leo wanamkataa, kesho akienda watamshangilia!
 
Unaishi sayari gani, mbona video hiyo ya kukataliwa Ndugai imechosha mitandaoni. Ipo tu.
 
Back
Top Bottom