BabuKijiko
Member
- May 3, 2024
- 24
- 38
Wananchi wametoa maoni kuhusu Jeshi la Polisi na kumwambia Waziri baadhi ya changamoto zilizopo ni viongozi kuwatetea wahalifu na wengine kutowahudumia wanapokuwa na uhitaji kwenye vituo vya Polisi
-
Waziri Masauni ametoa taarifa ya Serikali akielezea mkakati wa Serikali wa kupeleka Polisi Kata Nchi nzima pamoja na ujenzi wa vituo vya Polisi katika kata zote nchini
-
Waziri Masauni ametoa taarifa ya Serikali akielezea mkakati wa Serikali wa kupeleka Polisi Kata Nchi nzima pamoja na ujenzi wa vituo vya Polisi katika kata zote nchini