Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Ngoja tuone kama abiria watakosekana halafu ndio uje hapa na uchambuzi wako uchwara ukiendekeza chuki binafsi za wavuta ganja zikutawale.
Hahaha, mtumishi naomba tusali[emoji39][emoji39][emoji39][emoji28][emoji28][emoji28] tena nakumbuka ilikua sijui ni world cup!.mm nakuzaa Eli ww![emoji39]
Wewe ujanja wako umeufikisha mji wenu wapHao watakuwa Wasambaa wa Hedaru. Mchagga au Mpare hawezi kushobokea treni ya mwaka 1906. Wenye ushamba wa hivyo ni Wasukuma tu wanaopenda ile 3rd class ya Mwanza Dsm ambako wanajazana kama ng'ombe
piga hesabu vizuri...ni 16000x2 yaani kwenda na kurudi halafu usisahau nauli ya daladala au uber hadi stesheniMpare safari hii unaenda kula makande kwa nauli ya elfu kumi na sita tu!
Magufuli anawapenda sana wa kaskazini!
Hahaha, mtumishi naomba tusali[emoji39][emoji39][emoji39]
Habari hii ni yakutunga, iweje mkazi wa Moshi aseme sasa anauhakika wa kwenda Moshi (ipi!) kula Krisimasi. Habari hii ingetoka Dar ingeeleweka bila shaka hapo wakazi hao hawajawahi kufanya mkutano wa kutoa shukurani.Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20.
Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa safari ni rafiki.
Wananchi hao wameishukuru pia CCM kwa kuhakikisha Ilani ya uchaguzi inatekelezwa kwa 100% mkoani Kilimanjaro.
Naye mwenezi wa CCM ndugu Polepole amewaahidi wakazi hao wa Kilimanjaro kuwa CCM itaendelea kuwafanyia mambo makubwa zaidi kama wataendelea kutoa ushirikiano kama wanavyofanya sasa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hapo wewe ndiyo umeongea busara gani? Hebu soma halafu utafakari kama unabusara kuliko mimi.Hata ukikaa kimya wakati mwingine tutajua una HEKIMA japo ni zero brain, kuliko kuongea takataka na kutaja kabila la mtu.
Non sense.
Polepole kaandamana na wanakilimanjaro kuwatia hamasa........unawekewa source unaendelea kubisha wewe lazima utakuwa mrombo!Habari hii ni yakutunga, iweje mkazi wa Moshi aseme sasa anauhakika wa kwenda Moshi (ipi!) kula Krisimasi. Habari hii ingetoka Dar ingeeleweka bila shaka hapo wakazi hao hawajawahi kufanya mkutano wa kutoa shukurani.
Amejenga yeye ?Ingefaa iitwe reli ya JPM
Huu uzi bana[emoji23] mnapeana za usoWachaga wakumbushwe tu hata mbege ni ruksa kubeba kwenye treni, wapare waelezwe wawe wanaenda bafeti kula sio wakalie ubahiri njaa iwauwe humo kwenye treni
Amejenga yeye ?
Unanishanga na kunisikitisha unaposema ccm ndio imefanikisha hayo kwa wenye afya ya akili twajua hela iliyotumika hapo ni kodi zetu haijalishi ni cuf ,ccm,cdm n.k ukiingiza mambo ya uchama kwenye swala linalogusa kila mmoja wetu kwangu mimi naona ni ufinyu wa fikra na umimiWananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20.
Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa safari ni rafiki.
Wananchi hao wameishukuru pia CCM kwa kuhakikisha Ilani ya uchaguzi inatekelezwa kwa 100% mkoani Kilimanjaro.
Naye mwenezi wa CCM ndugu Polepole amewaahidi wakazi hao wa Kilimanjaro kuwa CCM itaendelea kuwafanyia mambo makubwa zaidi kama wataendelea kutoa ushirikiano kama wanavyofanya sasa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Acha kuharibu soko wewe ukisikia uchawi ndio huuNasikia nafasi zimejaa mapaka mwezi wa tatu mwakani..dah[emoji577][emoji920][emoji920][emoji920][emoji920][emoji920][emoji920][emoji920][emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa IPO hadi ya luxury mzee baba, tena ni self made money, to clarify. Bakini hapo na ufara wenu.Basi ni mchaga usiye na pesa
Wahi tiketi yako bwashee....... Ngonjera hazina tija!Unanishanga na kunisikitisha unaposema ccm ndio imefanikisha hayo kwa wenye afya ya akili twajua hela iliyotumika hapo ni kodi zetu haijalishi ni cuf ,ccm,cdm n.k ukiingiza mambo ya uchama kwenye swala linalogusa kila mmoja wetu kwangu mimi naona ni ufinyu wa fikra na umimi