MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,174
Mkuu nimesikiliza mawazo yako; Ila hutaki tu kukubali kwamba umekuwa mbinafsi; Wewe una mawazo ya jumla kuhusu watu wa moshi, of which yanaweza yasiwe ya kweli.Na pia watu Moshi they need luxurious and fastest safaris no matter is how much...,
Miaka ya nyuma Kidogo, nikiwa Tz, nilienda Sanya juu, wakati narudi kuna mzee alipanda basi pale Sango(ni between Moshi na Himo, Sijui kama nimepatia jina) , ila alikuwa na Ndugu yake mwenye jinsi ya KE wanaenda Dar, alipotoa nauli konda akamwambia Haitoshi inabidi aongeze, mzee alilalamika akiomba asaidiwe; Baadae abiria mmoja akamwambia Konda yeye atamuongezea.(Sitaki kujifunga kwenye mawazo kwamba mzee alikuwa Mchagg, lakini Inawezekana hivyo, kam ni kweli je yeye unahisi asingeweza kufanya option ya Treni kama ishu ni Fedha?)
Kwenye Mada kama hizi, Kifalsafa huwa tunawaza zaidi ya Upendeleo wa binafsi. Kama ambavyo umesema Treni sio Mara ya Kwanza, Ila haujazuiwa kuwaza zaidi kwamba Mara hii ni tofauti na zilizopita. Unaweza ukawaza kwa style hii kufikiri kwa kina, kufikiri kwa nyuzi 360.
1. Kuna watoto wamezaliwa kipindi ambacho Treni zilikuwa zimeshasitishwa, hivyo wapo wazazi wanaopenda kuwapandisha watoto wao japo waone usafiri wa treni.
2. Kwa mawazo yasio na ubinafsi kupanda Treni/Usafiri wa Umma sio ya Ya daraja fulani la watu, ni suala la option tu.
3. Kuna watu huwa wanaishi jirani na stesheni za Reli, ambapo akipanda basi Inamgharimu au Kuchukua Usafiri mwingine Kumpeleka mpaka nyumbani.
4. Kuna watu wanaufuata kama Usafiri wa Bei Rahisi ( wewe ndio umesimamia sababu hii moja)
5. Wako watu wakubwa kabisa wa ukanda huu, hajawahi kupanda Treni, na anajisikia hamu ya Kupanda japo kidogo tu.
6. Treni inaondoka Jioni, Sina hakika kama siku izi Kwenda moshi kuna Basi za Jioni am not sure, Hivyo mtu anaweza kusafiri usiku na Subuh akawa moshi.
Yaani ndugu yangu sababu ziko nyingi mno za kumfanya mtu afanye option ya Treni ni suala la kuruhusu upeo wako tu, Sijui kwa nini umeamua Kuwa mbinafsi kwa kusimamia Sababu moja tu ya Kipato, kufanya Conclusion kwa Idadi kubwa ya watu.
Mimi nipo Ughaibuni, Nilikuwa nashangaa Workshop Supervisor wangu anakuja na City Bus Daily, Wako wengine wanakuja na Bike, Treni sio kwamba hawana Magari, wanazo private transaport ila hawatumii kwa sababu zao, ambazo mimi sitaki kuwaza mgando kwamba hawana Hela.
Kwenye Jambo lolote unayonafasi ya kuwaza zaidi ya sababu unayohisi; Unayonafasi ya kwenda mbali zaidi Kifikra, pasi na kujifunga kwenye Fikra moja, tena iliyo Hasi.
Asante sana Ndugu yangu,