Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu


First things first:

Reason 1: Sababu ya kufikirika,ni kama unaleta utalii wa vitu vya zamani.Unasahu Africa hatuna utalii culture.So shut this

Reason 2: Hii si sababu,naona umetoa kitu kisichohusiana kabisa!...Katika capitalist society tuliyo nayo madaraja ya watu ya kiuchumi hayaepukiki,unachoongea wewe ni unafiki

Reason 3: Hao watu wanaoishi jirani na reli wanataka kufika nyumbani baada ya siku mbili au tatu?Na wanaoishi karibu na reli ni watu wangapi?Makumi kadhaa,which is nonsense compare na mamilioni ya watu wanaoenda Kaskazini kila mwaka!

Reason 4: Usafiri wa bei rahisi kwa cost ya kupoteza masiku kadhaa njiani?Na sasa hivi usafiri wa basi wa 30,000/= hauna watu sababu eti ni ghali?Nenda Ubungo then come talk to us!Na hao wasioweza kulipa 30,000/= ni wangapi?Sio wengi compared to maelfu wanaoenda Moshi na Arusha

Reason 5: “Hamu” ya kupakia treni umeifikiria wewe,na hiyo “hamu” inaisha baada ya tripu moja au mbili...Hamu zikiisha za hawa watu treni zinapaki?Nani apakie maana “hamu” zimeisha?Africa hatuna luxury ya kujenga “hamu” ya vitu vya neccesity.Hizo utazikuta nchi zilizoendelea.Stori unazojenga hapa za “hamu” ni upumbavu ukiangalia idadi

Reason 6:Sababu ya kipumbavu sana hii.Kama treni inaondoka jioni which infact sio fixed,then mabasi hayana liberty ya kuondoka muda huo pia?Na nani kakwambia wanadamu wanafurahi sana kusafiri usiku?Wanadamu sio norctunal animals,wanasafiri usiku by neccessity tu na wala sio upendo wao.Huniweki kwenye usafiri masaa 18!
Flight kutoka Dar es Salaam kwends Shanghai China ni masaa 13 ambapo ni nightmare kwa abiria halafu uniweke kwenye gogo la treni linalonuka masaa 18 au 24 mzee una kichaa????

Reason 7: Sababu ya kipumbavu kabisa hii....Uende kusafiri kwa raha kwenye 1 feet seat kwenye economy class ya treni ya mwaka 1892 iliyoletwa na Wajerumani zaidi ya miaka 100 iliyopita,uniambie sina haraka nataka ku-relax?Acha uongo na unafiki,hata kama wapo wa namna hiyo,watakua ni kadhaa,mabehewa yatabaki wazi as time goes by!

You will see,tupo hapa!

Hapakii mtu huo uchafu!

Halafu mpo mnashindana na mabasi luxury yanayotumia 5-8 hours kufika Kaskazini?

Are you motherfuckers insane?

Mengine uliyosema dont worth any replies!
 
ACHA UONGO WAKO PAKO FULLY BOOKED TILL FEBRUARY 2020.
 
Wewe ndio msemaji wetu sisi Wachaga?? Tutapanda tutapoona inastahili kupanda, acha ujinga
 
Wewe ni zuzu tena lipumbavu
 
Dah....Kuna sababu zaidi ya 1000 za kutopanda hiyo treni....vilevile zipo pia zaidi ya 1000 za kukufanya upande treni....inategemea na mahitaji yako....Bado nasisitiza ....Acha ujinga [emoji2960]

Mkuu

Acha sound

Tunazungumzia commercial success ya hizo train na zinapambana against luxury busses hapa!

Hizo sababu zako hata uzipange vipi ni lazima ziegemee luxury na speed na convinience!

Mengine yote ni irrelevant in a long run mzee commercially!

Tunaongelea commercial reasons hapa,acha story za alinacha!

In a long run hii system lazima i-prove commercial sense na not otherwise!

Tukija hapo hayo matreni yanaleta nonsense in and out!
 
Wewe ni zuzu tena lipumbavu

Umeshindwa kutoa sababu umeishia kutukana!

Kutukana hua ndio easiest answer!

Na matusi kila mtu anaweza hata mwenye IQ sifuri!

Unaonesha ulivyo kilaza,which is okay!
 
Ni kweli mkuu ila kumbuka sio wachaga wote wenye private car, pia kulikuwa na tatizo la kupanda nauli kwa magari yaendayo kaskazini kila mwisho wa mwaka, nadhani mwaka huu hili swala halita kuwepo.

Kingine hayo mabasi yalikuwa yanaringa sana kupakia mizigo, unakuta kamzigo kadogo wanadai elfu kumi, sasa watakoma. Halafu pia kuna watu wenye gari zao wataamua kuzipakia kwenye tren kwa ajili ya kusave garama za mafuta na wakapanda treni kwe bei poa, wakifika Moshi wanashusha gari zao hiyo pesa waliosave wananunua zawadi kwa ajili ya sikuku then wanapandisha huko mlimani, Kibosho Kirima au Umbwe Marangu, Mwika, kilema, Kirua, Machame, Tarakea, Useri, Shimbi, Mkuu, Mashati nk .
KUPANGA NI KUCHAGUA.
 
Acha unafik !
Umesikia kwa nani?.
Piga simu usikie majibu.
Kampeni za kijinga.
Nauli inazidi mpaka basi na unasafiri usiku kucha..kwenda Moshi tu kama kwenda Kigoma?
Mkuu sina hakika na ulichokisema kuhusu muda, hii reli nadhani ni Medium Gauge MGR na lengo la yale marekebisho yao yalikuwa kuifanya reli iwe na uwezo wakusuport tren iweze kusafar kilimita 70 kwa saa kutoka 35. Sassa sina hakika ni hiyo ya Moshi to Dar au ni hii ya Isaka.
 
Katika usafiri watu huangalia mambo tofauti tofauti sio muda tu. Kama ni muda basi watu wote wangekuwa wanapanda ndege. Kuna maswala yakiusalama comfortability, tourism factors nk. Kuna watu hawana haraka na safari zao na wana hela hata ya kupanda ndege lakini watapenda kupanda treni akakae first class sit za kulala ili tu auridhishe moyo wake.

Kuna watu wanaharaka na safari zao ila hawana nauli ya kupanda basi hawa watalazimika kupanda treni kwa elf 16 mzunguko ilimradi wafike safari yao haijalishi watatumia siku ngapi. Pia nakuhakikishia watalii wengi wanaotoka nchi za nje watakuwa wanapenda kupanda treni kutoka Dar kwenda Moshi na Vice versa ili waifaidi nchi vizuri.
 
Dah...[emoji2960]
 
Kuna mambo yanasababisha nijione nina akili kuliko mamilioni ya watu Tanzania hapa.

Huwa nawaza sana, kwanini mkoloni alijenga hii reli kutoka DSM, Tanga bandarini, ikafika korogwe, Mombo, Moshi then Arusha..? Nafikiri pia mkoloni angekuwepo angeifikisha Singida kutokea Arusha..

Tukipata jibu hapo juu kwa alichowaza mkoloni basi tunaweza kujifunza kitu na kufikiri zaidi..
 
Kwa hiyo unataka kutuaminisha.kwamba wachaga wote wa Dar wana magari? Acha hizo wewe wengi tunaowajua hawana hata baiskeli, tena watapanda wenye akili zao anatanya shughuli zake mchana Dar au Moshi usiku anakesha kwenye train na asubuhi yupo mjini kama sio yeye.
 
Bro mtapata kadhaa

Na wengi wataishia Tanga or somewhere!

Ila mabasi yatajaa to the maximum!

Hakuna basi litakosa wateja!

Mark my words!

Plus,fvck all of yall minions and mawe included!

If yall mad,svck my dick,goddamnit!
Mkuu lengo la serikali kufufua reli sio kuua usafiri wa mabasi ila nikuuboresha na matokeo yake tunaofaaidika ni sisi walaji yaani abiria, tutakuwa na choice nyingi.

Na utarajie kuanzia sasa mabasi yatakuwa na huduma nzuri sana kwa wateja, nauli zitashuka, Tabia yakupitishia watu kwenye hoteli za bei ghali zitaisha, zile kauli za abiria chunga mzigo wako watazifuta, Zile tabia kama walizonazo baadhi ya wahudumu wa Asante Rabi ya Mwanza Arusha za kukataa kushusha watu baadhi ya vituo na kuwashushia watu stendi iliopo umbali wa kilometer 20 kutoka kituo unachopaswa kushuka ilehali gari linaelekea hukohuko kwa ajili ya kuogopa kupitwa na magari mengine nayo itakwisha. JUKUMU LA SETIKALI NI KUHAKIKISHA GHARAMA ZA MAISHA ZUNAPUNGUA KWA WANANCHI WAKE.
 

Be serious wewe!

Comfort kwenye treni iliyojengwa na Mjerumani mwaka 1892?

Kwa reli ya Mjerumani ya gauge iliyojengwa miaka 120 iliyopita?

Comfortability?Na treni ya gogo inashindana na Luxury Coaches kwa comfortability!?Be serious kabisa!

Ingekua bullet train/high speed train comfortability yake ni at par with luxury coaches au plane quality!

Comfortability,tena economy class ya treni za Moshi ni zizi la ng’ombe.Stop this nonsense!

Kuhusu speed una compare ndege na treni ambapo ni kama una compare maembe na maharage.Vitu viwili tofauti!

Kwa purchase power ya Mtanzania wa kawaida usafiri wa basi na treni ndio comparable walao sio ndege!

Kwahiyo hapa,inabidi tu-compee speed za basi na treni na wala sio ndege maana kwa mass transportation kwa Tanzania ndege ni way out of e league!Wanapakia upper middle class kwenda juu!

Tunabakia na choice mbili tu,mabasi na treni.....Kwa treni ya Moshi,mabasi yana win easily kwa aspects zote!

Hizo magogo hazifui dafu kwa what mabasi ya kisasa sasa hivi can offer!

Kwa mass transportation ya mamilioni ya watu wa Kaskazini kwa mwaka,wata prefer basi zaidi kwa comfortability na speed kwa kiasi cha 30,000/=!

Treni zinafaa kwa long safari ambapo mabasi luxury hayaendi kwa wingi na barabara ni mbaya kama Kigoma ndio utapata wateja maana hakuna option zaidi!

Acheni kujitoa ufahamu nyie!

Mnaota sana mjue!
 
Hata ndege zilipokuja waliziponda sana, baadae tukarushiwa video mmoja baada ya mwingine wapo ndani ya hiyo hiyo ndege waliyosema hawapandi mbona tumewazoea
 
Mkuu hawa wanao tukanana kwa makabila humu ni wakuwapuuza watakuwa na kwashakoo ya akili au wanasumbuliwa na njaa.

Hivi inakuwaje mtu kuanza kumjaji mtu kwa kabila? Kujiona wewe ni bora kwa ajili ya kabila au kanda unayotoka? Watu tumesoma na watu mbalimbali ndani ya nchi yetu na makabila tofauti tumeishi geto kwa upendo kuliko hata wale uliowaacha nyumbani wa kabila lako.

Leo huku tunaishi mijini tuna marafiki wazuri tena wamakabila ti
tofauti na hata makabila yao hatayajui tunachojua ni utu wao na utanzania wao, hii ndio tamaduni yetu sisi watanzania. Sasa ukimuona mtu anatetea hoja kwa kuingiza kaharufu cha ukabila yaani huyo mtu ni zero kabisa kifupi hana akili ksbisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…