Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

Ndugu, tatizo wewe upo tayari na Upande, wa kuwakashifu wanaopanda Treni Huko Tz, Ukiangalia Comment zangu zote sina Shida na yeyote Anayepanda Treni, nayepanda Private car yake, anayepanda Public sina Shida naye kwa sababu Kwenye Safari Kinachoamua Mtu apande anachopanda ni Mantiki( Sababu kwa kilajambo).
Na sababu ziko Nyingi, na muhusika ndio anayejua sababu, ukiamua kufikiri bila mipaka ya ubinafsi, basi utagundua sababu nyingi tu, hizi ni baadhi amabzo nimejaribu kufikiri tu:-

1. Kuna watoto wamezaliwa kipindi ambacho Treni zilikuwa zimeshasitishwa, hivyo wapo wazazi wanaopenda kuwapandisha watoto wao japo waone usafiri wa treni.
2. Kwa mawazo yasio na ubinafsi kupanda Treni/Usafiri wa Umma sio ya Ya daraja fulani la watu, ni suala la option tu.
3. Kuna watu huwa wanaishi jirani na stesheni za Reli, ambapo akipanda basi Inamgharimu au Kuchukua Usafiri mwingine Kumpeleka mpaka nyumbani.
4. Kuna watu wanaufuata kama Usafiri wa Bei Rahisi ( wewe ndio umesimamia sababu hii moja..)
5. Wako watu wakubwa kabisa wa ukanda huu, hajawahi kupanda Treni, na anajisikia hamu ya Kupanda japo kidogo tu.
6. Treni inaondoka Jioni, Sina hakika kama siku izi Kwenda moshi kuna Basi za Jioni am not sure, Hivyo mtu anaweza kusafiri usiku na kesho yake mid-morning akawa moshi.
7. Kuna Mtu hana haraka ya Mahali popote, anahitaji Usafiri ambao Anaweza kuwa flexible,Akatembea Tembea, akaenda Kula Muda anaotaka, Akaenda Washroom Muda anaotaka, Akanywa Bia zake pasi na Kubeba mafurushi, maana Kwenye Treni zetu naamini zina Buffet.

Sasa kwa nini unajifungia na Sababu moja ya kufika mapema tuu? Kwanini huwazi kwa Niaba ya watu ambao hawana haraka ya popote? Sio kila mtu anawahi mara zote, hata kwenye basi, kuna wanaotafuta Luxorious, kuna wanaotafuta speed etc..

Mtu mwenye hekima huwezi Waza upande mmoja tuu, lazima Ujipe nafasi ya Kuwaza zaidi; Usijifungie tu kwamba ufike kesho yake, kwani kuna waliokwambia kwamba kila mtu anawahi.

Kama Huna Takwimu ni Bora ukawa Balanced; ndio maana mimi sina shida na yoyote Anayetumia basi la umma, anayetumia Usafiri wake binafsi wala anayetumia treni.
Sasa wewe unasema Huku hauna Takwimu halisi, ahalafu bado unakuwa bias, Tena kwa Matusi kabisa kwa kuita watu wapumbavu eti "I can estimate with informed guess" Sioni shaka maana hata Student wa Tz, wengi research ni za kuunga unga, wakisubiri kufanya kama ambavyo wewe unafanya eti "estimate with informed guess" Hii Dunia sio ya guess the world is Fact ndugu, ukipinga unakuwa na Valid Sampling ya unachopinga.
Ndio maana wazungu wanatoka Europe wanakuja Huko TZ kufanya research phyisical or Online sio kwamba hawana watu wa kuwapa habari wanatafuta Uhalisia wa habari zao.

Mimi sijakupinga kwamba treni litakuwa na wachache kuliko basi, hilo linawezekana, lakini si kweli kama watu hawatapanda Treni, na watakaopanda kuwa ni wapumbavu hii sio Hekima, kwa mtu aliyemakinika.

Kumbuka No research no Right to Criticize.

First things first:

Reason 1: Sababu ya kufikirika,ni kama unaleta utalii wa vitu vya zamani.Unasahu Africa hatuna utalii culture.So shut this

Reason 2: Hii si sababu,naona umetoa kitu kisichohusiana kabisa!...Katika capitalist society tuliyo nayo madaraja ya watu ya kiuchumi hayaepukiki,unachoongea wewe ni unafiki

Reason 3: Hao watu wanaoishi jirani na reli wanataka kufika nyumbani baada ya siku mbili au tatu?Na wanaoishi karibu na reli ni watu wangapi?Makumi kadhaa,which is nonsense compare na mamilioni ya watu wanaoenda Kaskazini kila mwaka!

Reason 4: Usafiri wa bei rahisi kwa cost ya kupoteza masiku kadhaa njiani?Na sasa hivi usafiri wa basi wa 30,000/= hauna watu sababu eti ni ghali?Nenda Ubungo then come talk to us!Na hao wasioweza kulipa 30,000/= ni wangapi?Sio wengi compared to maelfu wanaoenda Moshi na Arusha

Reason 5: “Hamu” ya kupakia treni umeifikiria wewe,na hiyo “hamu” inaisha baada ya tripu moja au mbili...Hamu zikiisha za hawa watu treni zinapaki?Nani apakie maana “hamu” zimeisha?Africa hatuna luxury ya kujenga “hamu” ya vitu vya neccesity.Hizo utazikuta nchi zilizoendelea.Stori unazojenga hapa za “hamu” ni upumbavu ukiangalia idadi

Reason 6:Sababu ya kipumbavu sana hii.Kama treni inaondoka jioni which infact sio fixed,then mabasi hayana liberty ya kuondoka muda huo pia?Na nani kakwambia wanadamu wanafurahi sana kusafiri usiku?Wanadamu sio norctunal animals,wanasafiri usiku by neccessity tu na wala sio upendo wao.Huniweki kwenye usafiri masaa 18!
Flight kutoka Dar es Salaam kwends Shanghai China ni masaa 13 ambapo ni nightmare kwa abiria halafu uniweke kwenye gogo la treni linalonuka masaa 18 au 24 mzee una kichaa????

Reason 7: Sababu ya kipumbavu kabisa hii....Uende kusafiri kwa raha kwenye 1 feet seat kwenye economy class ya treni ya mwaka 1892 iliyoletwa na Wajerumani zaidi ya miaka 100 iliyopita,uniambie sina haraka nataka ku-relax?Acha uongo na unafiki,hata kama wapo wa namna hiyo,watakua ni kadhaa,mabehewa yatabaki wazi as time goes by!

You will see,tupo hapa!

Hapakii mtu huo uchafu!

Halafu mpo mnashindana na mabasi luxury yanayotumia 5-8 hours kufika Kaskazini?

Are you motherfuckers insane?

Mengine uliyosema dont worth any replies!
 
Hapandi mtu, Nani anapanda gogo linafika Moshi baada ya siku 2 au 3? Wachagga sio masikini hivyo!

Hizi train zita prove failure on the arrival! Hapandi mtu nakwambia! Mtu anataka apakie afike Moshi siku hiyo hiyo! Hizo treni zitapakia ndizi na nguruwe kutoka Moshi kuja Dar!

Believe me!
Hapakii mtu mle!
ACHA UONGO WAKO PAKO FULLY BOOKED TILL FEBRUARY 2020.
 
Wewe ndio msemaji wetu sisi Wachaga?? Tutapanda tutapoona inastahili kupanda, acha ujinga
 
Unafeli!

Nitajie Watanzania 10 tu wanaotaka kwenda Arusha watumie siku 2 njiani?

Nitajie hao nguruwe tuwaone!

Hakuna!

Kama natumia 30,000/= kupata basi 10x confortable more than gogo na half of the time to reach more,who,by any stupid reason will ever use that stupid train?

Kwa kutumia sababu gani hasa!?

Itaje hiyo sababu very mysterious ambayo inapelekea mtu kupakia treni chafu yanye kunuka ikufikishe Moshi baada ya siku mbili upo njiani unapiga miayo kama mbwa?

Itaje hiyo sababu tuione hapa!

Acha blah blah bwana!
Wewe ni zuzu tena lipumbavu
 
Dah....Kuna sababu zaidi ya 1000 za kutopanda hiyo treni....vilevile zipo pia zaidi ya 1000 za kukufanya upande treni....inategemea na mahitaji yako....Bado nasisitiza ....Acha ujinga [emoji2960]

Mkuu

Acha sound

Tunazungumzia commercial success ya hizo train na zinapambana against luxury busses hapa!

Hizo sababu zako hata uzipange vipi ni lazima ziegemee luxury na speed na convinience!

Mengine yote ni irrelevant in a long run mzee commercially!

Tunaongelea commercial reasons hapa,acha story za alinacha!

In a long run hii system lazima i-prove commercial sense na not otherwise!

Tukija hapo hayo matreni yanaleta nonsense in and out!
 
Wewe ni zuzu tena lipumbavu

Umeshindwa kutoa sababu umeishia kutukana!

Kutukana hua ndio easiest answer!

Na matusi kila mtu anaweza hata mwenye IQ sifuri!

Unaonesha ulivyo kilaza,which is okay!
 
Hakuna mwenyeji wa Kilimanjaro anayeweza kushabikia huo uchafu wewe,ni kwamba mumewachukua walevi mukawaweka kwenye camera ili kutuzuga.

Mchagga aache kupanda private car from Dar to Moshi aashobokee hayo matakataka yenu..???
Eti wamepata uhakika wa kwenda Moshi kula Xmas mwaka huu...kwani walikuwa hawana uhakika..???mnachekesha walionuna nyie mafala.

Kilimanjaro imeendelea kabla ya Uhuru kwa taarifa yenu sasa.
Ni kweli mkuu ila kumbuka sio wachaga wote wenye private car, pia kulikuwa na tatizo la kupanda nauli kwa magari yaendayo kaskazini kila mwisho wa mwaka, nadhani mwaka huu hili swala halita kuwepo.

Kingine hayo mabasi yalikuwa yanaringa sana kupakia mizigo, unakuta kamzigo kadogo wanadai elfu kumi, sasa watakoma. Halafu pia kuna watu wenye gari zao wataamua kuzipakia kwenye tren kwa ajili ya kusave garama za mafuta na wakapanda treni kwe bei poa, wakifika Moshi wanashusha gari zao hiyo pesa waliosave wananunua zawadi kwa ajili ya sikuku then wanapandisha huko mlimani, Kibosho Kirima au Umbwe Marangu, Mwika, kilema, Kirua, Machame, Tarakea, Useri, Shimbi, Mkuu, Mashati nk .
KUPANGA NI KUCHAGUA.
 
Acha unafik !
Umesikia kwa nani?.
Piga simu usikie majibu.
Kampeni za kijinga.
Nauli inazidi mpaka basi na unasafiri usiku kucha..kwenda Moshi tu kama kwenda Kigoma?
Mkuu sina hakika na ulichokisema kuhusu muda, hii reli nadhani ni Medium Gauge MGR na lengo la yale marekebisho yao yalikuwa kuifanya reli iwe na uwezo wakusuport tren iweze kusafar kilimita 70 kwa saa kutoka 35. Sassa sina hakika ni hiyo ya Moshi to Dar au ni hii ya Isaka.
 
Mkuu
Unashindwa kuelewa kabisa, Hakuna mtu wa Moshi anaekuja Dar anapakia kitu cha 16,000/= kinachofika next day!

Hakuna! Kwenda Moshi, tatizo sio hela ya kupakia, tatizo ni speed ya kufika Moshi! Na treni ya mawe can never provide that! Hiyo treni ingepata watu kama ingekua inaenda Kigoma!

Basi za 30,000/= ambazo ni luxury sleeping coaches ni lazima zitajaa maana muhimu ni confort na speed ya kufika Moshi na Arusha! Huko serikalini they will never learn!

Bure kabisa! Mtu wa kwenda Moshi tangu lini akatafuta usafiri wa 16,000/= kufika Moshi siku inayofuata???

Never! Naongea kwa purely business standpoint na ninavyoijua njia ya Dar-Moshi-Arusha! Natoka huko na najua kila kitu! Hakuna mtu atakaepakia gogo!

Mark my words!

Namchukia sana mawe na watu wake ila kwa hili naongelea kibiashara na jinsi navyojua hii njia!
Katika usafiri watu huangalia mambo tofauti tofauti sio muda tu. Kama ni muda basi watu wote wangekuwa wanapanda ndege. Kuna maswala yakiusalama comfortability, tourism factors nk. Kuna watu hawana haraka na safari zao na wana hela hata ya kupanda ndege lakini watapenda kupanda treni akakae first class sit za kulala ili tu auridhishe moyo wake.

Kuna watu wanaharaka na safari zao ila hawana nauli ya kupanda basi hawa watalazimika kupanda treni kwa elf 16 mzunguko ilimradi wafike safari yao haijalishi watatumia siku ngapi. Pia nakuhakikishia watalii wengi wanaotoka nchi za nje watakuwa wanapenda kupanda treni kutoka Dar kwenda Moshi na Vice versa ili waifaidi nchi vizuri.
 
Mkuu

Acha sound

Tunazungumzia commercial success ya hizo train na zinapambana against luxury busses hapa!

Hizo sababu zako hata uzipange vipi ni lazima ziegemee luxury na speed na convinience!

Mengine yote ni irrelevant in a long run mzee commercially!

Tunaongelea commercial reasons hapa,acha story za alinacha!

In a long run hii system lazima i-prove commercial sense na not otherwise!

Tukija hapo hayo matreni yanaleta nonsense in and out!
Dah...[emoji2960]
 
Kuna mambo yanasababisha nijione nina akili kuliko mamilioni ya watu Tanzania hapa.

Huwa nawaza sana, kwanini mkoloni alijenga hii reli kutoka DSM, Tanga bandarini, ikafika korogwe, Mombo, Moshi then Arusha..? Nafikiri pia mkoloni angekuwepo angeifikisha Singida kutokea Arusha..

Tukipata jibu hapo juu kwa alichowaza mkoloni basi tunaweza kujifunza kitu na kufikiri zaidi..
 
Hakuna mwenyeji wa Kilimanjaro anayeweza kushabikia huo uchafu wewe,ni kwamba mumewachukua walevi mukawaweka kwenye camera ili kutuzuga.

Mchagga aache kupanda private car from Dar to Moshi aashobokee hayo matakataka yenu..???
Eti wamepata uhakika wa kwenda Moshi kula Xmas mwaka huu...kwani walikuwa hawana uhakika..???mnachekesha walionuna nyie mafala.

Kilimanjaro imeendelea kabla ya Uhuru kwa taarifa yenu sasa.
Kwa hiyo unataka kutuaminisha.kwamba wachaga wote wa Dar wana magari? Acha hizo wewe wengi tunaowajua hawana hata baiskeli, tena watapanda wenye akili zao anatanya shughuli zake mchana Dar au Moshi usiku anakesha kwenye train na asubuhi yupo mjini kama sio yeye.
 
Bro mtapata kadhaa

Na wengi wataishia Tanga or somewhere!

Ila mabasi yatajaa to the maximum!

Hakuna basi litakosa wateja!

Mark my words!

Plus,fvck all of yall minions and mawe included!

If yall mad,svck my dick,goddamnit!
Mkuu lengo la serikali kufufua reli sio kuua usafiri wa mabasi ila nikuuboresha na matokeo yake tunaofaaidika ni sisi walaji yaani abiria, tutakuwa na choice nyingi.

Na utarajie kuanzia sasa mabasi yatakuwa na huduma nzuri sana kwa wateja, nauli zitashuka, Tabia yakupitishia watu kwenye hoteli za bei ghali zitaisha, zile kauli za abiria chunga mzigo wako watazifuta, Zile tabia kama walizonazo baadhi ya wahudumu wa Asante Rabi ya Mwanza Arusha za kukataa kushusha watu baadhi ya vituo na kuwashushia watu stendi iliopo umbali wa kilometer 20 kutoka kituo unachopaswa kushuka ilehali gari linaelekea hukohuko kwa ajili ya kuogopa kupitwa na magari mengine nayo itakwisha. JUKUMU LA SETIKALI NI KUHAKIKISHA GHARAMA ZA MAISHA ZUNAPUNGUA KWA WANANCHI WAKE.
 
Katika usafiri watu huangalia mambo tofauti tofauti sio muda tu. Kama ni muda basi watu wote wangekuwa wanapanda ndege. Kuna maswala yakiusalama comfortability, tourism factors nk. Kuna watu hawana haraka na safari zao na wana hela hata ya kupanda ndege lakini watapenda kupanda treni akakae first class sit za kulala ili tu auridhishe moyo wake.

Kuna watu wanaharaka na safari zao ila hawana nauli ya kupanda basi hawa watalazimika kupanda treni kwa elf 16 mzunguko ilimradi wafike safari yao haijalishi watatumia siku ngapi. Pia nakuhakikishia watalii wengi wanaotoka nchi za nje watakuwa wanapenda kupanda treni kutoka Dar kwenda Moshi na Vice versa ili waifaidi nchi vizuri.

Be serious wewe!

Comfort kwenye treni iliyojengwa na Mjerumani mwaka 1892?

Kwa reli ya Mjerumani ya gauge iliyojengwa miaka 120 iliyopita?

Comfortability?Na treni ya gogo inashindana na Luxury Coaches kwa comfortability!?Be serious kabisa!

Ingekua bullet train/high speed train comfortability yake ni at par with luxury coaches au plane quality!

Comfortability,tena economy class ya treni za Moshi ni zizi la ng’ombe.Stop this nonsense!

Kuhusu speed una compare ndege na treni ambapo ni kama una compare maembe na maharage.Vitu viwili tofauti!

Kwa purchase power ya Mtanzania wa kawaida usafiri wa basi na treni ndio comparable walao sio ndege!

Kwahiyo hapa,inabidi tu-compee speed za basi na treni na wala sio ndege maana kwa mass transportation kwa Tanzania ndege ni way out of e league!Wanapakia upper middle class kwenda juu!

Tunabakia na choice mbili tu,mabasi na treni.....Kwa treni ya Moshi,mabasi yana win easily kwa aspects zote!

Hizo magogo hazifui dafu kwa what mabasi ya kisasa sasa hivi can offer!

Kwa mass transportation ya mamilioni ya watu wa Kaskazini kwa mwaka,wata prefer basi zaidi kwa comfortability na speed kwa kiasi cha 30,000/=!

Treni zinafaa kwa long safari ambapo mabasi luxury hayaendi kwa wingi na barabara ni mbaya kama Kigoma ndio utapata wateja maana hakuna option zaidi!

Acheni kujitoa ufahamu nyie!

Mnaota sana mjue!
 
Hapandi mtu, Nani anapanda gogo linafika Moshi baada ya siku 2 au 3? Wachagga sio masikini hivyo!

Hizi train zita prove failure on the arrival! Hapandi mtu nakwambia! Mtu anataka apakie afike Moshi siku hiyo hiyo! Hizo treni zitapakia ndizi na nguruwe kutoka Moshi kuja Dar!

Believe me!
Hapakii mtu mle!
Hata ndege zilipokuja waliziponda sana, baadae tukarushiwa video mmoja baada ya mwingine wapo ndani ya hiyo hiyo ndege waliyosema hawapandi mbona tumewazoea
 
Ninahisi kama kuna kundi la watu wanataka kulazimisha uadui wa haya makabila kisa ni siasa yaani iwe kama ilivo kenya halafu baadaye wanasiasa kutoka makabila haya wawe wanatafuta uungwaji mkono wa kikanda ,kikabila hii ni njia rahisi iliyosalia kuelekea mgawanyiko mkuu hatimaye ikibidi vita kati yetu huwa sioini sababu mtu kuingiza ukabila sehemu ambapo hauhitajiki na ninahisi wengi wala si wachaga au wachaga wako under attack indirectly ili waonekane ni watu wenye ukabila yaani mtu anjifanya mchaga kutukana kabila jingine ni wazi watu wa kabila jingine hata wasipojibu wanakuwa wanawachukulia tofauti
Mkuu hawa wanao tukanana kwa makabila humu ni wakuwapuuza watakuwa na kwashakoo ya akili au wanasumbuliwa na njaa.

Hivi inakuwaje mtu kuanza kumjaji mtu kwa kabila? Kujiona wewe ni bora kwa ajili ya kabila au kanda unayotoka? Watu tumesoma na watu mbalimbali ndani ya nchi yetu na makabila tofauti tumeishi geto kwa upendo kuliko hata wale uliowaacha nyumbani wa kabila lako.

Leo huku tunaishi mijini tuna marafiki wazuri tena wamakabila ti
tofauti na hata makabila yao hatayajui tunachojua ni utu wao na utanzania wao, hii ndio tamaduni yetu sisi watanzania. Sasa ukimuona mtu anatetea hoja kwa kuingiza kaharufu cha ukabila yaani huyo mtu ni zero kabisa kifupi hana akili ksbisa.
 
Back
Top Bottom