Be serious wewe!
Comfort kwenye treni iliyojengwa na Mjerumani mwaka 1892?
Kwa reli ya Mjerumani ya gauge iliyojengwa miaka 120 iliyopita?
Comfortability?Na treni ya gogo inashindana na Luxury Coaches kwa comfortability!?Be serious kabisa!
Ingekua bullet train/high speed train comfortability yake ni at par with luxury coaches au plane quality!
Comfortability,tena economy class ya treni za Moshi ni zizi la ng’ombe.Stop this nonsense!
Kuhusu speed una compare ndege na treni ambapo ni kama una compare maembe na maharage.Vitu viwili tofauti!
Kwa purchase power ya Mtanzania wa kawaida usafiri wa basi na treni ndio comparable walao sio ndege!
Kwahiyo hapa,inabidi tu-compee speed za basi na treni na wala sio ndege maana kwa mass transportation kwa Tanzania ndege ni way out of e league!Wanapakia upper middle class kwenda juu!
Tunabakia na choice mbili tu,mabasi na treni.....Kwa treni ya Moshi,mabasi yana win easily kwa aspects zote!
Hizo magogo hazifui dafu kwa what mabasi ya kisasa sasa hivi can offer!
Kwa mass transportation ya mamilioni ya watu wa Kaskazini kwa mwaka,wata prefer basi zaidi kwa comfortability na speed kwa kiasi cha 30,000/=!
Treni zinafaa kwa long safari ambapo mabasi luxury hayaendi kwa wingi na barabara ni mbaya kama Kigoma ndio utapata wateja maana hakuna option zaidi!
Acheni kujitoa ufahamu nyie!
Mnaota sana mjue!