Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

Be serious wewe!

Comfort kwenye treni iliyojengwa na Mjerumani mwaka 1892?

Kwa reli ya Mjerumani ya gauge iliyojengwa miaka 120 iliyopita?

Comfortability?Na treni ya gogo inashindana na Luxury Coaches kwa comfortability!?Be serious kabisa!

Ingekua bullet train/high speed train comfortability yake ni at par with luxury coaches au plane quality!

Comfortability,tena economy class ya treni za Moshi ni zizi la ng’ombe.Stop this nonsense!

Kuhusu speed una compare ndege na treni ambapo ni kama una compare maembe na maharage.Vitu viwili tofauti!

Kwa purchase power ya Mtanzania wa kawaida usafiri wa basi na treni ndio comparable walao sio ndege!

Kwahiyo hapa,inabidi tu-compee speed za basi na treni na wala sio ndege maana kwa mass transportation kwa Tanzania ndege ni way out of e league!Wanapakia upper middle class kwenda juu!

Tunabakia na choice mbili tu,mabasi na treni.....Kwa treni ya Moshi,mabasi yana win easily kwa aspects zote!

Hizo magogo hazifui dafu kwa what mabasi ya kisasa sasa hivi can offer!

Kwa mass transportation ya mamilioni ya watu wa Kaskazini kwa mwaka,wata prefer basi zaidi kwa comfortability na speed kwa kiasi cha 30,000/=!

Treni zinafaa kwa long safari ambapo mabasi luxury hayaendi kwa wingi na barabara ni mbaya kama Kigoma ndio utapata wateja maana hakuna option zaidi!

Acheni kujitoa ufahamu nyie!

Mnaota sana mjue!
Kwani kuna reli ambayo sio ya gage? Nimegundua wewe ni mgumu kuelewa soma uzi wangu vizuri utaelewa nilichokiandika na nilichomaaanisha. Sijui shuleni mlisomaga nini? Mtu unasoma kitu juu juu hujaelewa unakuja kumwaga upupu hapa. Do intensive reading bro. Have I compared the speed of train and Plane in my thread?
 
Binafsi nampongeza Mh.Raisi Wa Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania kwa kupeleka tren KLM, mimi namuangalia yule mmachinga wa hali ya chini kabisa ambaye kwa gharama nafuu kabisa atafika kariakoo na kununua mzigo wake na kurudi kuuuza KLM kwa bei ambayo mwananchi wa kipato cha chini kabisa ataweza kununua.
Kuna watu wanamaisha magumu kulee DSM na ndugu zao wapo Moshi kinachowakwamisha ni nauli tuu hawa wataweza kufika KLM na kurudi.
Mwisho kabisa nawakumbusha huku kuna watu wazazi wao au babu zao waliweza kwenda kutafuta maisha Dar, kwa kutumia usafiri huu hawakua na pesa za basi way back 80's na wakatoboa wakafanya uzaliwe mjini ununue smartphone uje kutusumbua hapa. Jf
 
Kwani kuna reli ambayo sio ya gage? Nimegundua wewe ni mgumu kuelewa soma uzi wangu vizuri utaelewa nilichokiandika na nilichomaaanisha. Sijui shuleni mlisomaga nini? Mtu unasoma kitu juu juu hujaelewa unakuja kumwaga upupu hapa. Do intensive reading bro. Have I compared the speed of train and Plane in my thread?

Gauge ya reli ya mwaka 1892 ni standard za gauge ya sasa hivi?

Nani amekwambia nimesema reli za Mjerumani za miaka 120 iliyopita hazina gauge?

Reli zote zina gauge,gauge ni kipimio,hoja hapa ni gauge ya uzito wa kisasa?

Jibu ni kwamba sioo!

Mgumu kuelewa ni wewe!

Mimi mgumu kuelewa vitu vya kipumbavu!

Vitu vya kipumbavu nielewe nipeleke wapi!?

I got no time for that nonsense!
 
Hata ndege zilipokuja waliziponda sana, baadae tukarushiwa video mmoja baada ya mwingine wapo ndani ya hiyo hiyo ndege waliyosema hawapandi mbona tumewazoea

Ndege zinaenda wapi?

Nitajie trip mojawapo za nje ya TaNzania?

None!

Zinaenda Njombe!

Yall niggas are really sick!
 
Mkuu lengo la serikali kufufua reli sio kuua usafiri wa mabasi ila nikuuboresha na matokeo yake tunaofaaidika ni sisi walaji yaani abiria, tutakuwa na choice nyingi.

Na utarajie kuanzia sasa mabasi yatakuwa na huduma nzuri sana kwa wateja, nauli zitashuka, Tabia yakupitishia watu kwenye hoteli za bei ghali zitaisha, zile kauli za abiria chunga mzigo wako watazifuta, Zile tabia kama walizonazo baadhi ya wahudumu wa Asante Rabi ya Mwanza Arusha za kukataa kushusha watu baadhi ya vituo na kuwashushia watu stendi iliopo umbali wa kilometer 20 kutoka kituo unachopaswa kushuka ilehali gari linaelekea hukohuko kwa ajili ya kuogopa kupitwa na magari mengine nayo itakwisha. JUKUMU LA SETIKALI NI KUHAKIKISHA GHARAMA ZA MAISHA ZUNAPUNGUA KWA WANANCHI WAKE.

Mlaji gani anasafiri kutoka Dar kwenda Moshi kwa siku mbili?

Kutoka Dar es Salaam kwenda Shanghai ni 13 hours straight,na watu wanachoka kiama halafu uniweke kwenye lile gogo linanuka mavi mbuzi na ng’ombe kwa 24hrs straight?

Hata kama nauli ni bure sipakii upuuzi huo!

Mkuu,hili mnalijua kabisa,hapakii mtu mle!
 
Hakuna mwenyeji wa Kilimanjaro anayeweza kushabikia huo uchafu wewe,ni kwamba mumewachukua walevi mukawaweka kwenye camera ili kutuzuga.

Mchagga aache kupanda private car from Dar to Moshi aashobokee hayo matakataka yenu..???
Eti wamepata uhakika wa kwenda Moshi kula Xmas mwaka huu...kwani walikuwa hawana uhakika..???mnachekesha walionuna nyie mafala.

Kilimanjaro imeendelea kabla ya Uhuru kwa taarifa yenu sasa.
Kuna wakati inabidi mtu kucheka tu.
 
Mimi ntapanda treni na ntaenda na marafiki na ndugu.
Sasa wewe unayejifanya mchambuzi wa comfortability, speed sijui ma nini endelea na uchambuzi wako usio na mashiko.
 
Back
Top Bottom