Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Aug 9, 2023 #41 mbingunikwetu said: Lakini baada ya kuwekwa madarakani akawageuka wananchi na kuamua kuwafurahisha mabeberu!!! Hao hao wananchi waliomchagua ndio wanafurahia yeye kupinduliwa!!! Demokrasia ni kukubaliana na matakwa ya wengi!! Click to expand... Ni swala la muda tu hii itakuja tokea bongo
mbingunikwetu said: Lakini baada ya kuwekwa madarakani akawageuka wananchi na kuamua kuwafurahisha mabeberu!!! Hao hao wananchi waliomchagua ndio wanafurahia yeye kupinduliwa!!! Demokrasia ni kukubaliana na matakwa ya wengi!! Click to expand... Ni swala la muda tu hii itakuja tokea bongo
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Aug 9, 2023 #42 5520 said: Kumbuka rais aliyepinduliwa aliekwa madarakani na demokrasia, sio kidikteta Click to expand... Kidemokrasia kama ilivyo huku kwetu eeh. Kwamba mpinzani anafungiwa ofisi hadi deadline ya kurudisha form ipite
5520 said: Kumbuka rais aliyepinduliwa aliekwa madarakani na demokrasia, sio kidikteta Click to expand... Kidemokrasia kama ilivyo huku kwetu eeh. Kwamba mpinzani anafungiwa ofisi hadi deadline ya kurudisha form ipite
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Aug 9, 2023 #43 5520 said: Vi vil rais anakuwa madarakani halafu anafanya vibaya kama alivyokuwa jiwe lakini utaratibu wa kumuondoa kwa kura unakuwa pale pale sio kupinduliwa Click to expand... Jiwe hakufanya vibaya bali alifanya kinachostahili kufanywa 🤣 ndio maana hata sahizi hata wasiokuwa na akili wanauona umuhimu wake.
5520 said: Vi vil rais anakuwa madarakani halafu anafanya vibaya kama alivyokuwa jiwe lakini utaratibu wa kumuondoa kwa kura unakuwa pale pale sio kupinduliwa Click to expand... Jiwe hakufanya vibaya bali alifanya kinachostahili kufanywa 🤣 ndio maana hata sahizi hata wasiokuwa na akili wanauona umuhimu wake.
5 5520 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 849 Reaction score 1,482 Aug 10, 2023 #44 Extrovert said: Jiwe hakufanya vibaya bali alifanya kinachostahili kufanywa 🤣 ndio maana hata sahizi hata wasiokuwa na akili wanauona umuhimu wake. Click to expand... kwa sikuhizi kunaokotwa maiti kwenye viroba
Extrovert said: Jiwe hakufanya vibaya bali alifanya kinachostahili kufanywa 🤣 ndio maana hata sahizi hata wasiokuwa na akili wanauona umuhimu wake. Click to expand... kwa sikuhizi kunaokotwa maiti kwenye viroba