Wananchi wa Niger waunga mkono mapinduzi ya kijeshi. Wanasisa wa Kiafrika wanakuwa vibaraka wa mabeberu na kuwasahau wananchi

Wananchi wa Niger waunga mkono mapinduzi ya kijeshi. Wanasisa wa Kiafrika wanakuwa vibaraka wa mabeberu na kuwasahau wananchi

Lakini baada ya kuwekwa madarakani akawageuka wananchi na kuamua kuwafurahisha mabeberu!!! Hao hao wananchi waliomchagua ndio wanafurahia yeye kupinduliwa!!! Demokrasia ni kukubaliana na matakwa ya wengi!!
Ni swala la muda tu hii itakuja tokea bongo
 
Kumbuka rais aliyepinduliwa aliekwa madarakani na demokrasia, sio kidikteta
Kidemokrasia kama ilivyo huku kwetu eeh. Kwamba mpinzani anafungiwa ofisi hadi deadline ya kurudisha form ipite
 
Vi vil rais anakuwa madarakani halafu anafanya vibaya kama alivyokuwa jiwe lakini utaratibu wa kumuondoa kwa kura unakuwa pale pale sio kupinduliwa
Jiwe hakufanya vibaya bali alifanya kinachostahili kufanywa 🤣 ndio maana hata sahizi hata wasiokuwa na akili wanauona umuhimu wake.
 
Back
Top Bottom