GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wengine kama akina GENTAMYCINE tuna Udhaifu Mmoja mkubwa wa Kukariri Jambo na Kutosahau Milele hivyo tunakumbusha tu ujio wa Ndege zetu zingine Mbili Kubwa za Air Northern Malawi.
Halafu tunawaombeni kama ambavyo huwa mnapenda Kukurupuka kwa kutafuta Sifa Kwetu Wananchi wa Northern Malawi juu ya Ujio wa Ndege zetu basi tunawaombeni pia muwe wepesi hivyo hivyo Kutuambia kwanini zimechelewa kufika kama mlivyotutangazia.
Natamani sana tu Mkataba wangu hapa nchini Northern Malawi nilipo Kikazi na Kimaisha uishe ili nirejee tu Nyumbani nchini Kwangu Tanzania ambako hakuna Upuuzi kama huu wa hapa halafu na Mama ( Rais ) nae wa huko ( Tanzania ) anazidi tu Kuupiga mwingi na sasa Maisha ni mazuri hadi Wazungu wanakimbilia kwenda Kutembea na wengine hata wakitaka waendelee Kuwepo ( Kuishi )
Kwa mfano kwa sasa hapa nilipo nchini Northern Malawi Bei ya Mafuta ya Petrol inakaribia Tsh 2500/= au Tsh 3000/= za huko Kwetu Tanzania wakati kwa sasa Tanzania Bei ya Mafuta ya Petrol nasikia imeshuka mno na hata ukiwa na Buku Jero ( Tsh 1,500/= ) unawekewa Mafuta katika Petrol Station yoyote ile.