Wananchi wa Tanzania wataendelea kupigwa na maisha mpaka mwisho wa Dunia

Wananchi wa Tanzania wataendelea kupigwa na maisha mpaka mwisho wa Dunia

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Viongozi wanatulaumu wananchi wakihisi huwenda sisi ndio sababu ya nchi kutokupiga hatua, huku sisi wananchi kwa 100% tukiutupa mzigo mzima wa lawama kwa viongozi maana wao ndio watunga sera zote za kiuchumi.

Kama viongozi wa Kitaifa wanawajumuisha Kizazi og na Wadudu wa Arusha kwenye issue muhimu ya Kitaifa unadhani kuna kitu gani cha maana ambacho viongozi wetu wanacho vichwani mwao vitaleta maendeleo kwa Taifa?.

 
off-time...kila pande lazima uzingatiwe, ukiwa serious sana utapasuka bongo
 
Aliyeingia mkataba wa Muungano, na pia kuianzisha ccm, hajawatendea kabisa haki wananchi wa Tanganyika.
 
Wanachokifanya viongozi wanakijua. Tatizo walala hoi wanakielewa?
 
Back
Top Bottom