johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
na pengine wapo hata hao CCM wengine hukosoa piaHivi kila anayekosoa mwenendo wa Serikali ni CHADEMA au UPINZANI, kwanini hamtaki kuamini kwamba wapo raia wasio na itikadi yoyote na hawapendezwi na baadhi ya mambo ya hovyo, hivyo ni haki yao kusema.
Halafu CDM si munasema imekufa mbona bado naona kama watu wanatapatapa.
Na tundulissu yumo kwenye maandamano ?Nafahamu kwamba makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu kwa sasa anaishi Ubelgiji.
Kupitia taarifa ya habari ya Al jazeera wameonekana wananchi wa Ubelgiji wazungu na wale wenye asili ya Afrika na Asia wakiandamana kupinga kufungiwa ndani.
Wanadai kwamba Lockdown ni mateso kupita Corona yenyewe.
Nimeona niwaleteeni hili bandiko makamanda wa Chadema mpate kutafakari na hata kufuatilia kama " Ni yeye " aliandamana.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Na mambo "ya hovyo" yenyewe ni Rais kukataa kuwafungia watanzania lockdown??Hivi kila anayekosoa mwenendo wa Serikali ni CHADEMA au UPINZANI, kwanini hamtaki kuamini kwamba wapo raia wasio na itikadi yoyote na hawapendezwi na baadhi ya mambo ya hovyo, hivyo ni haki yao kusema.
Halafu CDM si munasema imekufa mbona bado naona kama watu wanatapatapa.
Afanyiwe kile kipimo cha kichina cha kupima Corona maana amezidi upuuziWewe inatakiwa tukukune huko nyuma mana naona unawashwa sana.
Lini chademaa wamesema serikali ifungie watu ndani. Unafungiaje watu ndani wakati chanjo imeshapatkana? Serikali ikanunue chanjo bhna
Wewe hukumbuki Mbowe mpaka alivuruga chama kisa anataka wabunge wajiweke lockdown?Lini chademaa wamesema serikali ifungie watu ndani. Unafungiaje watu ndani wakati chanjo imeshapatkana? Serikali ikanunue chanjo bhna
Yule hawezi katulizwa na amtwadamNa tundulissu yumo kwenye maandamano ?
Wewe unakunwa na nani hapo Ufipa maana Kubenea zlikukimbia!Wewe inatakiwa tukukune huko nyuma mana naona unawashwa sana.