infinix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 2,096
- 2,150
Tunajua kama mkali wenu yuko huko Ubeleji.Nafahamu kwamba makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu kwa sasa anaishi Ubelgiji.
Kupitia taarifa ya habari ya Al jazeera wameonekana wananchi wa Ubelgiji wazungu na wale wenye asili ya Afrika na Asia wakiandamana kupinga kufungiwa ndani.
Wanadai kwamba Lockdown ni mateso kupita Corona yenyewe.
Nimeona niwaleteeni hili bandiko makamanda wa Chadema mpate kutafakari na hata kufuatilia kama " Ni yeye " aliandamana.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Ninyi mataga mmepata taatifa ya kupokea vipimo vipya kutoka uchina?
Hats namna ya kupima no togauti na vipimo vya mabeberu, vya kichina vinakufaeni sana ninyi mataga