Wananchi wa Ubelgiji waandamana kupinga kufungiwa ndani, CHADEMA mnaweza kujifunza kitu huko!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ imebidi nicheke. Magufuli huyu huyu wa elimu ya kuunga unga na anayejiita mwendawazimu! 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Huu ugonjwa ni BIASHARA Na propaganda.ipo siku mtakuja kumuelewa magufuli kwenye Corona
 
Wenye akili TIMAMU wanakufa na Corona huko na vichwa vinawauma.
Bora Nani hapo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imebidi nicheke. Magufuli huyu huyu wa elimu ya kuunga unga na anayejiita mwendawazimu! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahahaha lol! Ama kweli akili ni Nywele kila mtu na zake! Sasa kama yeye ni bora kwanini huwa anakimbilia chato!?

Wenye akili TIMAMU wanakufa na Corona huko na vichwa vinawauma.

Bora Nani hapo?
Your browser is not able to display this video.
 
Amstadam amekaribisha kirusi nchini mwake cha kuhamasisha maandamano, Itakuwa Lisu kashawishi wananchi wa huko waingie mitaani baada ya kutoa ushuhuda wa kinachoendelea Tz dhidi ya corona
 
Kwani CHADEMA wanataka tufungiwe ndani?
ina maana MATAGA mna utapia mlo wa medula kiasi hiki?
 
Mwingine huyu mbona hakukimbilia limao na tangawizi unadhani havijui? Acha kujitoa ufahamu!!!
Huyo hata akae mansese kwa ulinzi wake hawezi pata Corona.

Na akipata atagonga limao na tangawizi
 
Mkuu tulishatahadharisha kuweka siasa kwenye masuala yanayohusu maisha ya Binadamu. Suala la corona linaeleweka. Kila mwenye pumzi na akili timamu atanielewa. Kuna watu hawaamini kwamba huu ugonjwa upo na unaua. Hadi utakapoingia milangoni mwao ndipo watakapoelewa.

Suala la Chadema ulishaambiwa kama una ujauzito wa mmoja wao katoe. Au wewe ni miongoni mwa wale Wabunge wa Covid-19?? Pambana kivyako Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…