Wananchi katika Kijiji cha Kigogwe, Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wameandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja la kubembea, unaojengwa katika Mto Rwiche kijijini hapo, wakidai waliomba kujengewa daraja la kudumu.
Kwa sasa wananchi hao wanavuka Mto Rwiche kupitia vivuko ambavyo wananchi wenyewe wamejenga.
Shida nikwamba atakae jenga kifuku hakaai uko wala hajai ona kifuku cha uko,💥Apo mwenyekiti apewe iyo milion 150.. watajenga wenyewe daraja zuri kabisaaaa…