Wananchi waandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja Kigoma

Wananchi waandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja Kigoma

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Wananchi katika Kijiji cha Kigogwe, Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wameandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja la kubembea, unaojengwa katika Mto Rwiche kijijini hapo, wakidai waliomba kujengewa daraja la kudumu.

Kwa sasa wananchi hao wanavuka Mto Rwiche kupitia vivuko ambavyo wananchi wenyewe wamejenga.

Chanzo: Clouds TV

===================



 
Safari hii wananchi wameamka. Kila mahali migomo
 
Shida nikwamba atakae jenga kifuku hakaai uko wala hajai ona kifuku cha uko,💥Apo mwenyekiti apewe iyo milion 150.. watajenga wenyewe daraja zuri kabisaaaa…
 
Back
Top Bottom