Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Ikumbukwe siku ya jana msemaji wa serikali alisema wananchi waende kuchukua miili polisi na sio sehemu husika ya kuchukua wapendwa wao, hali iliyozua mjadala mkubwa kwa wananchi.
Kuna wananchi walipeleka miili kwenye baadhi ya hospitali lakini walikuta haipo, na kuna wengine tangu maandamano ya kudai mabadiliko ya kiuchaguzi wanaodaiwa kuuawa kikatili na polisi ambapo vyombo vya kimataifa vimethibitisha wengi hawajulikani walipo mpaka sasa.