Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #21
Swali lako ni la kipumbavukwani kwenye hizo awamu kuna muhaini aliwahi kuhamasisha kuzuia uchaguzi?
Swali lako ni la kipumbavukwani kwenye hizo awamu kuna muhaini aliwahi kuhamasisha kuzuia uchaguzi?
Awamu ya kwanza zilikuwepo nyingi tu.Bibi Titi Mohammed,Abdallah Said Fundikira,Kambona,Kasim Hanga,Sheikh Suleiman Taqadir,Askof wa Orythodox,walioteka ATC,na yupo pia Hans Pope.Mbali ya yule aliyewarushia wanajeshi chupa za bia,kwenye gari ya bia,wakati anakamatwa.wewe bado msichana mdogo,huijui dunia.Wananchi wengi wanahoji sasa kwamba ilikuwaje katika awamu ya 3, ya 4 na ya 5, ambazo zote hizi zilikuwa na Vyama vya Upinzani hakukuwahi kuwa na kesi za Uhaini?
View attachment 3299580
Why Awamu ya 6 itengeneze kesi ya Ugaidi ya Mbowe na sasa imetengeneza hii ya Uhaini ya Tundu Lissu?
Uchunguzi wetu umebaini kwamba Marais wote wa awamu hizo walitokea Tanganyika, Je hawakuwa na uwezo wa Intelijensia ya kuwaona Magaidi na Wahaini kama huyu aliyepo sasa ambaye anatokea upande wa pili?
Karibuni kwa Mjadala
Hilo ni kosa lenu mwenyekiti yupo kabatini timu mbowe mnashangilia chooni kimya kimya...Kama macho huna hilo haliwezi kuwa kosa letu
Elewa uziAwamu ya kwanza zilikuwepo nyingi tu.Bibi Titi Mohammed,Abdallah Said Fundikira,Kambona,Kasim Hanga,Sheikh Suleiman Taqadir,Askof wa Orythodox,walioteka ATC,na yupo pia Hans Pope.Mbali ya yule aliyewarushia wanajeshi chupa za bia,kwenye gari ya bia,wakati anakamatwa.wewe bado msichana mdogo,huijui dunia.
Na sisi Watanzania wapenda amani na umoja wa taifa letu tutaanzisha #tag ya "binya haswa hilo haini tal"Wapenda demokrasia popote tulipo tuungane tukashambulia mitandao ya kijamii ya media kubwa duniani,tukicomment #tag ya Free TAL,dunia nzima ijue nini kinachoendelea Cambodia kwa waswahili ,pia tunaweka na great campaign yetu ya No reforms no election
Au sio, keyboard warriors!#FreeTAL#NoreformsNoelection#
masheikh wa zanzibar walishtakiwa kwa kosa gani? mahfouz na hayati hans pope walishtakiwa kwa makosa gani?
Uhaini ni nini?Nafikiri uliza hv;
Kulikoni awamu ya 3, 4 na 5 chadema na Tundu wao hawakufanya uhaini Bali awamu ya sita?!!!
Hata hivyo, nyie mashetani, mnachotaka kukizalisha hicho (ubaguzi wa kibara na visiwani) kitashindwa kama mlivyoshindwa kwenye mengi, kwa jina la Yesu.
Housegirl wa Mbowe umeandika ujinga.Wananchi wengi wanahoji sasa kwamba ilikuwaje katika awamu ya 3, ya 4 na ya 5, ambazo zote hizi zilikuwa na Vyama vya Upinzani hakukuwahi kuwa na kesi za Uhaini?
View attachment 3299580
Why Awamu ya 6 itengeneze kesi ya Ugaidi ya Mbowe na sasa imetengeneza hii ya Uhaini ya Tundu Lissu?
Uchunguzi wetu umebaini kwamba Marais wote wa awamu hizo walitokea Tanganyika, Je hawakuwa na uwezo wa Intelijensia ya kuwaona Magaidi na Wahaini kama huyu aliyepo sasa ambaye anatokea upande wa pili?
Karibuni kwa Mjadala
HayaHousegirl wa Mbowe umeandika ujinga.
Hawajui hata nini maana ya uhaini katika uhalisia wakeWananchi wengi wanahoji sasa kwamba ilikuwaje katika awamu ya 3, ya 4 na ya 5, ambazo zote hizi zilikuwa na Vyama vya Upinzani hakukuwahi kuwa na kesi za Uhaini?
View attachment 3299580
Why Awamu ya 6 itengeneze kesi ya Ugaidi ya Mbowe na sasa imetengeneza hii ya Uhaini ya Tundu Lissu?
Uchunguzi wetu umebaini kwamba Marais wote wa awamu hizo walitokea Tanganyika, Je hawakuwa na uwezo wa Intelijensia ya kuwaona Magaidi na Wahaini kama huyu aliyepo sasa ambaye anatokea upande wa pili?
Karibuni kwa Mjadala
Hiyo mbegu ya ubaguzi wa bara na visiwani mnayotaka kuipanda ni mbaya sana. Ni muhimu mkafinywa mapema ili kusambaratisha huo ushenzi. Jeshi la polisi linafanya kazi nzuri.Haya
Shetani hajawahi kumshinda MunguHiyo mbegu ya ubaguzi wa bara na visiwani mnayotaka kuipanda ni mbaya sana. Ni muhimu mkafinywa mapema ili kusambaratisha huo ushenzi. Jeshi la polisi linafanya kazi nzuri.
Mashekhe walishitakiwa kwa ugaidi .masheikh wa zanzibar walishtakiwa kwa kosa gani? mahfouz na hayati hans pope walishtakiwa kwa makosa gani?
Kumbukumbu hawana.masheikh wa zanzibar walishtakiwa kwa kosa gani? mahfouz na hayati hans pope walishtakiwa kwa makosa gani?
Kama kweli ninyi ni makamanda nendeni barabaraniWapenda demokrasia popote tulipo tuungane tukashambulia mitandao ya kijamii ya media kubwa duniani,tukicomment #tag ya Free TAL,dunia nzima ijue nini kinachoendelea Cambodia kwa waswahili ,pia tunaweka na great campaign yetu ya No reforms no election