1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,307
Hii ni awamu ya mwisho wa CCM kutawala Tanganyika . Kwa hiyo ni lazima iondoke kwa mbinde sana . Mfa maji haachi kurusha miguu na mikonoWananchi wengi wanahoji sasa kwamba ilikuwaje katika awamu ya 3, ya 4 na ya 5, ambazo zote hizi zilikuwa na Vyama vya Upinzani hakukuwahi kuwa na kesi za Uhaini?
View attachment 3299580
Why Awamu ya 6 itengeneze kesi ya Ugaidi ya Mbowe na sasa imetengeneza hii ya Uhaini ya Tundu Lissu?
Uchunguzi wetu umebaini kwamba Marais wote wa awamu hizo walitokea Tanganyika, Je hawakuwa na uwezo wa Intelijensia ya kuwaona Magaidi na Wahaini kama huyu aliyepo sasa ambaye anatokea upande wa pili?
Karibuni kwa Mjadala
Twende nao taratibu wakati wa uchaguzi Lisu tutamchukulia Fomu akiwa gerezani .
Atatokea Gerezani kwenda ikulu .
Wakikataa kumpa kura hakuna uchaguzi maana wanataka kutulazimishia wezi waendelee kuikalia Tanganyika