Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
wapo akina Lucas Mwashambwa wanaripo live, mpaka alivyovaa unapewa taarifa, watu wanabubujikwa na machozi ya kutamaniHivi huko dodoma hakuna waandishi wa habari? Au wanamhujumu mama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapo akina Lucas Mwashambwa wanaripo live, mpaka alivyovaa unapewa taarifa, watu wanabubujikwa na machozi ya kutamaniHivi huko dodoma hakuna waandishi wa habari? Au wanamhujumu mama.
MkuuMimi nipo Dodoma.
Ahaaa thubutu yaan mi mtu mzima naona baya na zuri yaan naliona genge la wapigaji eti nami nishabikie hukoZikikurudi Akili ulizokamliwa maji ya kijani, hutokaa ccm maisha yako yote wallah nakwambia tena
Kwani Wana Mkutano WapiCCM ni kama hawana mkutano vile - dalili.mbaya sana kwao
😂🤣😂🤣🤣🤣😂😂😂Kweli kabisa na JF imejaa lissu vs mbowe
Hahahaawapo akina Lucas Mwashambwa wanaripo live, mpaka alivyovaa unapewa taarifa, watu wanabubujikwa na machozi ya kutamani
HaifahamikiKwani Wana Mkutano Wapi
Haijawahi tokea namna hii. Yaani pamoja na maigizo yote lakini bado ImebumaCCM ni kama hawana mkutano vile - dalili.mbaya sana kwao
Lucas Mwashambwa anasema ukumbi mzima unabubujikwa na machozi kwa jinsi Samia alivyopendeza. Naona mama kavaa vazi la msiba mkuu. Hii inaashiria anguko kubwa la CCM limewadiaPamoja na kubeba kila msanii nchi nzima na hata vyombo vya habari Mamluki kwenda Dodoma, lakini mambo ni Magumu.
Nimeona hata Waandishi waliopo huko ambao wengi ni Chawa wao akiwemo Rafiki yangu Maulid Kitenge hawajui Wamhoji nani na katika mada ipi, Yaani Waandishi wa Habari walioko Dodoma hata hawajui kwanini wako Dodoma! Hii ni Aibu sana! Mwisho wa siku wamejikuta wanawahoji watoto wa viongozi ambao hata hawahusiki na Jambo lenyewe, unamhoji January Makamba au Nape Nnauye Katika lipi sasa, Makalla anaongelea Mambo ya Chadema, anayeongelea ya CCM ni nani?
View attachment 3204401
Jambo la Kufurahisha ni Mwitikio wa Wananchi, Kwa mara ya kwanza tangu nipate akili nimeona Wananchi wakipuuza kabisa Mkutano Mkuu wa ccm, hongera kwao. pamoja na kukurupua Wasanii wote lakini Wananchi hawajatikisika hata chembe! Na naomba kuchukua nafasi hii kuwatahadharisha Wasanii wa Tanzania kwamba, kuendelea kujiambatanisha na ccm ni kujichimbia kaburi la futi 100, Watapuuzwa muda si mrefu, Wananchi watarudi tena kwenye kupenda Rhumba za Congo, Wasome alama za Nyakati haraka sana, ccm ishakataliwa na Wananchi, Nguzo yao ni Dola na Watekaji (RIP ALLY KIBAO)
Bali Swali letu ni hili, Hali hii inatokana na nini, Kuchokwa kabisa kwa ccm au ni Taimingi mbaya ya Mkutano huu kushindanisha na Mkutano Mkuu kabambe wa Chadema? au ni yote kwa Pamoja?
Kweli haifahamiki, nimeona akina JB au wanafanya utalii kwenye SGR yetuHaifahamiki
Kwanini wasihamishie hiyo Mechi Dodoma kama wanavyohamishia mechi zingine nchi jirani ya Zanzibar?Wangesubiri mechi ya YANGA ipite. Hakuna Jambo lenye nguvu Tanzania kuzidi mpira kwasasa.
UNAJUWA WATANZANIA TUNAPENDA SANA KUANGALIA VITUKO YAANI KIKITOKEA KITUKO SEHEMU HALAFU SEHEMU NYINGINE KUNA JAMBO LAMAANA LINAENDELEA WATU WATAJAA KUANGALIA VITUKO NA NDIYO KINACHENDELEA WATU WAKO BUSY KUCHUNGULIA WATU WANAVUANA NGUO ILI WACHUNGULIE MBUPU NA K ZA WATU NI HILO TU NDIYO MAANA CHADEMA WATU WANAANGALIA ZAIDI KUMESHAKUWA NI JUKWAA LA MIPASHO WATU DODOMA SASAHIVI NI RAHA TUPU NYIE MKO NA MAKASIRIKO YENU HASARAPamoja na kubeba kila msanii nchi nzima na hata vyombo vya habari Mamluki kwenda Dodoma, lakini mambo ni Magumu.
Nimeona hata Waandishi waliopo huko ambao wengi ni Chawa wao akiwemo Rafiki yangu Maulid Kitenge hawajui Wamhoji nani na katika mada ipi, Yaani Waandishi wa Habari walioko Dodoma hata hawajui kwanini wako Dodoma! Hii ni Aibu sana! Mwisho wa siku wamejikuta wanawahoji watoto wa viongozi ambao hata hawahusiki na Jambo lenyewe, unamhoji January Makamba au Nape Nnauye Katika lipi sasa, Makalla anaongelea Mambo ya Chadema, anayeongelea ya CCM ni nani?
View attachment 3204401
Jambo la Kufurahisha ni Mwitikio wa Wananchi, Kwa mara ya kwanza tangu nipate akili nimeona Wananchi wakipuuza kabisa Mkutano Mkuu wa ccm, hongera kwao. pamoja na kukurupua Wasanii wote lakini Wananchi hawajatikisika hata chembe! Na naomba kuchukua nafasi hii kuwatahadharisha Wasanii wa Tanzania kwamba, kuendelea kujiambatanisha na ccm ni kujichimbia kaburi la futi 100, Watapuuzwa muda si mrefu, Wananchi watarudi tena kwenye kupenda Rhumba za Congo, Wasome alama za Nyakati haraka sana, ccm ishakataliwa na Wananchi, Nguzo yao ni Dola na Watekaji (RIP ALLY KIBAO)
Bali Swali letu ni hili, Hali hii inatokana na nini, Kuchokwa kabisa kwa ccm au ni Taimingi mbaya ya Mkutano huu kushindanisha na Mkutano Mkuu kabambe wa Chadema? au ni yote kwa Pamoja?
Wametumia sana kwa LissuWangesubiri mechi ya YANGA ipite. Hakuna Jambo lenye nguvu Tanzania kuzidi mpira kwasasa.
Kweli Ninyi hamjitambui kabisa ma CHADEMA.yaani mpo Bize kufuatilia habari za CCM halafu hapo hapo mnasema watu hawafuatilii.hivi hizo ni akili au Matope?Lucas Mwashambwa anasema ukumbi mzima unabubujikwa na machozi kwa jinsi Samia alivyopendeza. Naona mama kavaa vazi la msiba mkuu. Hii inaashiria anguko kubwa la CCM limewadia
Tuache kuangalia game sababu ya watu wachache wasioelewekaWangesubiri mechi ya YANGA ipite. Hakuna Jambo lenye nguvu Tanzania kuzidi mpira kwasasa.
Wananchi akili zetu zote zipo kwa mkapa na kufuzu, timing waliyotumia imegusa mambo mawili ya kitaifa ilihali sote tunajua mpira lazima ushinde.