Wananchi Wakiamua Kupuuza jambo hata mkitumia nini haitasaidia Chochote

Pamoja na kubeba kila msanii nchi nzima na hata vyombo vya habari Mamluki kwenda Dodoma, lakini mambo ni Magumu.

Nimeona hata Waandishi waliopo huko ambao wengi ni Chawa wao akiwemo Rafiki yangu Maulid Kitenge hawajui Wamhoji nani na katika mada ipi, Yaani Waandishi wa Habari walioko Dodoma hata hawajui kwanini wako Dodoma! Hii ni Aibu sana! Mwisho wa siku wamejikuta wanawahoji watoto wa viongozi ambao hata hawahusiki na Jambo lenyewe, unamhoji January Makamba au Nape Nnauye Katika lipi sasa, Makalla anaongelea Mambo ya Chadema, anayeongelea ya CCM ni nani?

View attachment 3204401

Jambo la Kufurahisha ni Mwitikio wa Wananchi, Kwa mara ya kwanza tangu nipate akili nimeona Wananchi wakipuuza kabisa Mkutano Mkuu wa ccm, hongera kwao. pamoja na kukurupua Wasanii wote lakini Wananchi hawajatikisika hata chembe! Na naomba kuchukua nafasi hii kuwatahadharisha Wasanii wa Tanzania kwamba, kuendelea kujiambatanisha na ccm ni kujichimbia kaburi la futi 100, Watapuuzwa muda si mrefu, Wananchi watarudi tena kwenye kupenda Rhumba za Congo, Wasome alama za Nyakati haraka sana, ccm ishakataliwa na Wananchi, Nguzo yao ni Dola na Watekaji (RIP ALLY KIBAO)

Bali
Swali letu ni hili, Hali hii inatokana na nini, Kuchokwa kabisa kwa ccm au ni Taimingi mbaya ya Mkutano huu kushindanisha na Mkutano Mkuu kabambe wa Chadema? au ni yote kwa Pamoja?
Kamuokoe Kwanza Mbowe. Lisu kamkalia kooni
 
Kwanini wasihamishie hiyo Mechi Dodoma kama wanavyohamishia mechi zingine nchi jirani ya Zanzibar?
Ninaimani kama Dodoma pangekuwa na uwanja mkubwa kama uliopo kisiwani basi ingekuwa rahisi kutimiza wazo lako mkuu.

Hapo napata hoja kutoka kwako kuwa, kwanini viwanja vya mpira vya kisasa vyenye hadhi ya kimataifa havikujengwa bara ambapo ligi ni maarufu na yenye hadhi na vikajengwe kule? Ambapo ligi yake hatuioni kama inashawishi kuwekeza kwa huo ukubwa

Hapo ningepata maswali zaidi mkuu.
 
Tuache kuangalia game sababu ya watu wachache wasioeleweka
Siku watawala na wagombea kiti wakikaa chini na kutathimini viongozi Bora na kuruhusu washike madaraka achiliambali vyama na wale wababaishaji kuwekwa kando basi nitaanza rasmi kujihusisha na mambo ya kisiasa lakini huu utaratibu wa kihistoria na Nani alifanyanini, hawa wezi hawakufanya hiki unatuvunja Sana moyo Sisi kizazi kipya kujihusisha na mambo ya kisiasa.
 
Kilichopo hapa Dom nilichokiona kwa macho yangu mawili ni wingi wa malaya na upungufu mkubwa wa condoms
 
Pamoja na kubeba kila msanii nchi nzima na hata vyombo vya habari Mamluki kwenda Dodoma, lakini mambo ni Magumu.

Nimeona hata Waandishi waliopo huko ambao wengi ni Chawa wao akiwemo Rafiki yangu Maulid Kitenge hawajui Wamhoji nani na katika mada ipi, Yaani Waandishi wa Habari walioko Dodoma hata hawajui kwanini wako Dodoma! Hii ni Aibu sana! Mwisho wa siku wamejikuta wanawahoji watoto wa viongozi ambao hata hawahusiki na Jambo lenyewe, unamhoji January Makamba au Nape Nnauye Katika lipi sasa, Makalla anaongelea Mambo ya Chadema, anayeongelea ya CCM ni nani?

View attachment 3204401

Jambo la Kufurahisha ni Mwitikio wa Wananchi, Kwa mara ya kwanza tangu nipate akili nimeona Wananchi wakipuuza kabisa Mkutano Mkuu wa ccm, hongera kwao. pamoja na kukurupua Wasanii wote lakini Wananchi hawajatikisika hata chembe! Na naomba kuchukua nafasi hii kuwatahadharisha Wasanii wa Tanzania kwamba, kuendelea kujiambatanisha na ccm ni kujichimbia kaburi la futi 100, Watapuuzwa muda si mrefu, Wananchi watarudi tena kwenye kupenda Rhumba za Congo, Wasome alama za Nyakati haraka sana, ccm ishakataliwa na Wananchi, Nguzo yao ni Dola na Watekaji (RIP ALLY KIBAO)

Bali
Swali letu ni hili, Hali hii inatokana na nini, Kuchokwa kabisa kwa ccm au ni Taimingi mbaya ya Mkutano huu kushindanisha na Mkutano Mkuu kabambe wa Chadema? au ni yote kwa Pamoja?
 
LISSU anapewa attention kuliko mkutano mzima wa ccm you tube imeongeza watumiaji Tanzania kwasababu ya LISSU na sio Malaya 3000 walioko dodoma week hii.
 
Pamoja na kubeba kila msanii nchi nzima na hata vyombo vya habari Mamluki kwenda Dodoma, lakini mambo ni Magumu.

Nimeona hata Waandishi waliopo huko ambao wengi ni Chawa wao akiwemo Rafiki yangu Maulid Kitenge hawajui Wamhoji nani na katika mada ipi, Yaani Waandishi wa Habari walioko Dodoma hata hawajui kwanini wako Dodoma! Hii ni Aibu sana! Mwisho wa siku wamejikuta wanawahoji watoto wa viongozi ambao hata hawahusiki na Jambo lenyewe, unamhoji January Makamba au Nape Nnauye Katika lipi sasa, Makalla anaongelea Mambo ya Chadema, anayeongelea ya CCM ni nani?

View attachment 3204401

Jambo la Kufurahisha ni Mwitikio wa Wananchi, Kwa mara ya kwanza tangu nipate akili nimeona Wananchi wakipuuza kabisa Mkutano Mkuu wa ccm, hongera kwao. pamoja na kukurupua Wasanii wote lakini Wananchi hawajatikisika hata chembe! Na naomba kuchukua nafasi hii kuwatahadharisha Wasanii wa Tanzania kwamba, kuendelea kujiambatanisha na ccm ni kujichimbia kaburi la futi 100, Watapuuzwa muda si mrefu, Wananchi watarudi tena kwenye kupenda Rhumba za Congo, Wasome alama za Nyakati haraka sana, ccm ishakataliwa na Wananchi, Nguzo yao ni Dola na Watekaji (RIP ALLY KIBAO)

Bali
Swali letu ni hili, Hali hii inatokana na nini, Kuchokwa kabisa kwa ccm au ni Taimingi mbaya ya Mkutano huu kushindanisha na Mkutano Mkuu kabambe wa Chadema? au ni yote kwa Pamoja?
Ccm mbele kwa mbele, unaijua ile coras?
 
Shauri yako

Mwokoe Boss wako Gaidi Freman
Nyie mmatrend kwa kutukanana na kupigana vyooni sio🤣
 
Back
Top Bottom