Wananchi Wakiamua Kupuuza jambo hata mkitumia nini haitasaidia Chochote

Wangesubiri mechi ya YANGA ipite. Hakuna Jambo lenye nguvu Tanzania kuzidi mpira kwasasa.

Wananchi akili zetu zote zipo kwa mkapa na kufuzu, timing waliyotumia imegusa mambo mawili ya kitaifa ilihali sote tunajua mpira lazima ushinde.
 
Who is Winning ?

Walamba Asali ambao wanazidi kulamba asali kila siku; au wanaonyonywa na kupikiga kitaa ?

Waambie wadau wako, try Aiming for the Moon, if you Miss at least you will Hit the Stars...
 
Lucas Mwashambwa anasema ukumbi mzima unabubujikwa na machozi kwa jinsi Samia alivyopendeza. Naona mama kavaa vazi la msiba mkuu. Hii inaashiria anguko kubwa la CCM limewadia
 
UNAJUWA WATANZANIA TUNAPENDA SANA KUANGALIA VITUKO YAANI KIKITOKEA KITUKO SEHEMU HALAFU SEHEMU NYINGINE KUNA JAMBO LAMAANA LINAENDELEA WATU WATAJAA KUANGALIA VITUKO NA NDIYO KINACHENDELEA WATU WAKO BUSY KUCHUNGULIA WATU WANAVUANA NGUO ILI WACHUNGULIE MBUPU NA K ZA WATU NI HILO TU NDIYO MAANA CHADEMA WATU WANAANGALIA ZAIDI KUMESHAKUWA NI JUKWAA LA MIPASHO WATU DODOMA SASAHIVI NI RAHA TUPU NYIE MKO NA MAKASIRIKO YENU HASARA
 
Lucas Mwashambwa anasema ukumbi mzima unabubujikwa na machozi kwa jinsi Samia alivyopendeza. Naona mama kavaa vazi la msiba mkuu. Hii inaashiria anguko kubwa la CCM limewadia
Kweli Ninyi hamjitambui kabisa ma CHADEMA.yaani mpo Bize kufuatilia habari za CCM halafu hapo hapo mnasema watu hawafuatilii.hivi hizo ni akili au Matope?
 
Wangesubiri mechi ya YANGA ipite. Hakuna Jambo lenye nguvu Tanzania kuzidi mpira kwasasa.

Wananchi akili zetu zote zipo kwa mkapa na kufuzu, timing waliyotumia imegusa mambo mawili ya kitaifa ilihali sote tunajua mpira lazima ushinde.
Tuache kuangalia game sababu ya watu wachache wasioeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…