Wananchi Wakiamua Kupuuza jambo hata mkitumia nini haitasaidia Chochote

Kweli Ninyi hamjitambui kabisa ma CHADEMA.yaani mpo Bize kufuatilia habari za CCM halafu hapo hapo mnasema watu hawafuatilii.hivi hizo ni akili au Matope?
Hamna MTU anafuatilia habari za CCM, ni wewe umetusimulia kwamba ukumbi mzima mnabubujikwa na machozi kutokana na vazi la mama yenu, utadhani na wewe ni Abduli
 
Kweli Ninyi hamjitambui kabisa ma CHADEMA.yaani mpo Bize kufuatilia habari za CCM halafu hapo hapo mnasema watu hawafuatilii.hivi hizo ni akili au Matope?
Mkuu hivi lile kundi la Samia Queens ambalo waliomo hata wewe usingependa Mwanao aige mienendo yao michafu, wanaenda Dodoma kufanya nini au kumburudisha nani? kama huwajui nioo tayari kukutajia majina yao
 
CHADEMA kwa sasa ndio kuna ishu inayosikilizwa zaidi kuwa ni nani atakuwa mwenyekiti wa Chama ili CCM wajue jinsi ya kucheza na akili za huyo atakaeletwa na CHADEMA ili CCM waje na njia ya kumshinda.
 
Mambo ni magumu kwa kweli. Sasa hivi habari kubwa ya mjini ni Chadema, Tundu Lissu & Mbowe. Waache hao wazidi kuturingishia tu wasanii na mabasi
 
CCM ziiiiii!
 
Hii nchi hawawezi kuila wakaimaliza, siku zinakuja vitatafutwa hata vizazi vyao kulipa gharama za kutuchelewesha na kuiba mali za umma. Itakua ni kama Rwanda tu 1994 yani kila kona mlango kwa mlango ilimradi tu ulikua ni nzi wa kijani. Tunawaona tu tunaweka kumbukumbu zinahifadhiwa.
 
Siasa za upande mmoja zina bore sana. Sasa hivi kila mtu maarufu ni CCM. Jobless graduates nao CCM ili wapate kazi.

Single party state is boring. Hakuna hamsha hamsha plus nidhamu za uoga..
 
Hata kama ni wewe, kweli utakubali kila siku kunywa chai na maandazi?? Si siku zingine utataka pia chapati au Makande.

Sasa wewe shangaa, tangia mwaka 1961 ni CCM tu ilhali mabadiliko ni nature ya mwanadamu ila wao wanang'ang'ania sera ya chama kimoja tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…