Wananchi Wakiamua Kupuuza jambo hata mkitumia nini haitasaidia Chochote

Chadema ni kama tukio la dharura tofauti na ccm ambao ni routine so lazima watu wawe na attention na matukio kama unavyoona wanaumbuana huko.
 
sasa ulitumikishwaje na ukawa dumped gentleman ๐Ÿ’
Nilipandikizwa patriotic mentality. I was brainwashed to believe in patriotism something which wasn't even there. My mind was taken hostage to believe in a myth Gentleman.

Kadi ya CCM ninayo mpaka sasa. Muda wowote nitaichanilia mbali..
 
Yote kwa pamoja
 
Nilipandikizwa patriotic mentality. I was brainwashed to believe in patriotism something which wasn't even there. My mind was taken hostage to believe in a myth Gentleman.

Kadi ya CCM ninayo mpaka sasa. Muda wowote nitaichanilia mbali..
Gentleman,
niliwahi kuajiriwa kama dereva halmashauri flani huko rukwa. In3 months nikabadilisha muundo, nikawa mtendaji wa kijiji within the same region, na baadae nikapanda nikawa mtendaji kata, hatimae in other less than 5 months nikawa afisa utumishi, nafasi ambayo ndiyo haswa ilikua target yangu before sijaajiriwa.

Target yako ilikua nini hasa hadi ukatumikishwa? ama haukua na target kabisa gentleman? ๐Ÿ’
 
Duuuuh
 
kumbe mlikua na matatizo yenu binafsi huko gentleman?
CCM inahusika nini na wewe kugoma kumuoa mtu? hizo si personal issues?

mimi nimekua katibu wa mgombea ubunge mtu mzito mno humu nchini in two terms. Na kwasabb I was very serious, na kuna mambo nilikua nadictate yafanyike au yasifanyike na ninaskilizwa hadi na meneja wa kampeni ambae yeye alikua na pesa tu, hakua na ujuzi na masuala ya kisiasa ispokua mimi,

Huenda wewe ulikua myonge na dhaifu usie na chochote gentleman ๐Ÿ’
 
Homa ya Lissu imebadilisha kabisa upepo na uelekeo wa siasa za Tanzania.
 
kumbe mlikua na matatizo yenu binafsi huko gentleman?
CCM inahusika nini na wewe kugoma kumuoa mtu? hizo si personal issues?
Hii haikuwa personal issue. Wewe haujui jinsi mambo yanavyoenda. Hii ilikuwa ni amri kutoka juu.

Kuna baadhi ya taarifa ni very sensitive siwezi kuzisema mbele ya kadamnasi hapa JF..
 
Wanachezea tuu mali za umma kununua mabasi ya chama wakijifanya yamenunuliwa na fedha za chama
 
Kweli Ninyi hamjitambui kabisa ma CHADEMA.yaani mpo Bize kufuatilia habari za CCM halafu hapo hapo mnasema watu hawafuatilii.hivi hizo ni akili au Matope?
Kwani huko kijani kibichi kuna nn kinaendelea, watu tunasubir first eleven ya yanga tuanze kusikiliza hiyena hiyena,

Acha akina lucas chawa na kina chiembe kunguni wabubujikwe machozi na kilio cha kwikwi kama mc pilipili akilia mbele ya mke wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ