GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii inchi haina vyama kuna chama na ndio kinaongoza hadi sasa
 
Is this true au ni mada imagine omekatwa na kuwekeza hapa na wafuasi wa Heche anayeongoza watu wote kushangolia msiba huu bila aibu.
 
Taarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ’­
 
Nimesikia wapo watu kule Jimbo la Kongwa eti wanashangilia kifo cha Job Ndugai Spika wa zamani wa Bunge.

Wanaweza kuwa na sababu zao lakini kwa vyovyote vile zitakuwa na mafungamano na Siasa. Ni jambo la kipumbafu siasa imetufikisha hapa. Waliokuwa wanashangilia wanakanyaga ardhi kwa mbwembwe nao pia watatakufa na kuzikwa kama atakavyozikwa Ndugai siku ya Jumatatu.

Wewe maiti mtarajiwa unacha kushangilia hapo?? Ndugai keshamaliza safari yake Bado Mimi na wewe. Yeye atazikwa kwa heshima zote. Tuache ushamba na ujinga, hatujui vifo vyetu vitakuwaje!! Kifo kitufundishe kutenda mema duniani. Pumbaf zenu!!!
 
Hizi ndo mada mpendazo chadema πŸ˜‚ hapo roho zenu n burudani tuu
Badala ya kukaa na kufikiria watawezaje kuokoa na kufufua Chana chao ambacho kimeelekea kuzimu, wao wanakalia kushangilia vifo vya wanadamu wenzao. Chadema imeishakufa na CHAUMA na ACT ndo play makers kwa sasa hapa Tanzania, roho mbaya za wafuasi wa CDM ndizo zimewafanya wadumae hata akili za kuimarisha chama chao.
 
Kwa CHADEMA kwani hali iko je huko? Kweli bado chama kipo?
 
Nilikua nakuheshimu sana kwakua niliamini unaweza kua mtu makini.Samahani kwa kukuheshimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…