😂😂 Mshana Jr upo active kuliko ata JF wenyewe faza
😂😂 Mshana Jr upo active kuliko ata JF wenyewe faza
Hahahah....matambikoAcha tu mkuu ....
Ni zaidi ya Moderator.....hahaha😂😂 Mshana Jr upo active kuliko ata JF wenyewe faza
300+ mjomba si mchezo ..sijui kama watu wanaelewa hapa...sidhani ...Hahahah....matambiko
Time will tell.Muda haujatimia
Kwa kauli yako hiyo bado unajiona msafi kweli?Jamaa kimeuuma balaa.maccm.bwana
Mavi-jana ya Tanzania yamekuwa kama majinga majinga hivi! Unashangilia kifo cha mtu?
Mikono yangu i safi sio kama yenu maccmKwa kauli yako hiyo bado unajiona msafi kweli?
We unaonajeEbu niambie, kuna uhusiano gani kati ya CCM na huo msiba!
🤔 🤔 🤔 ðŸ’Taarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
Badala ya kukaa na kufikiria watawezaje kuokoa na kufufua Chana chao ambacho kimeelekea kuzimu, wao wanakalia kushangilia vifo vya wanadamu wenzao. Chadema imeishakufa na CHAUMA na ACT ndo play makers kwa sasa hapa Tanzania, roho mbaya za wafuasi wa CDM ndizo zimewafanya wadumae hata akili za kuimarisha chama chao.Hizi ndo mada mpendazo chadema 😂 hapo roho zenu n burudani tuu
Kwa CHADEMA kwani hali iko je huko? Kweli bado chama kipo?WAKUU SIJUI kwa Nini, Kuna WATU BADO Hawa amini KUWA HALI SI shwari. YANI ukikaa off mtandaoni kidogo TU unapitwa na matukio makubwa AMBAYO hayakufikiliwa kutokea.
Wanachi kuandamana kuwagomea wateuliwa, polepole kuzingua, ndugai kufariki, HAPO BADO Kuna matukio yaja BAADA ya wagombea kutangazwa rasmi kamati kuu. HAYA YOTE ni ndani ya miezi miwili TU.
Kwishaaaa
Nilikua nakuheshimu sana kwakua niliamini unaweza kua mtu makini.Samahani kwa kukuheshimuCCM angalieni mnapopeleka Taifa....Video hizo 2 za usiku ni wananchi wa jimbo la Kongwa wakishangilia msiba......dah,imagine wa mtu ambaye angekuwa Mbunge wao na alikuwa Mbunge wao wa muda mrefu.
Hawaamini kama amepita kihalali?
Video nyingine ni tukio la March 10,2009View attachment 3434482