1120ulimwengu
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 308
- 489
Watu wamewachoka jamani muwe mnaelewaTCRA isicheke na maujinga haya yanayotengenezwa na vyombo vya hbr vinaendekea huo ufirauni vishughulikiwe
Na Kunyweshwa Cuca....Utakuta yanaongozwa na mbunge mwenza aliyeshindwa katika kura za wajumbe!
Probably💯
Ndiye aliyeandaa risala ya Msiba wa Lissu kabla ya kufarikiNdugai ndio spika aliyeruhusu kupitishwa kwa miswaada ya hovyo bungeni.Ndiye alipelekea kupitisha sheria mbovu ya usalama wa Taifa inayowaruhusu maafisa wa Usalama wa Taifa kuwa JESHI(usishangae hao wasiojulikana wametokana na sheria hii).Ndugai alipitisha sheria ya hovyo wakiwa na Masaju ya kuficha mashahidi ili watu wanyongwe(kumbuka utetezi wa Lissu kwenye kesi yake inayoendelea).Ndugai ameshirika kupiga rubber stamp sheria nyingi za hovyo na alishindwa kabisa kulipa meno bunge.
Ndugai alimaliza ubunge kwa aibu ya karne,ndio spika aliyelamba miguu ya Mamlaka(executive) ili kuspare pension na ulaji wake binafsi badala ya kutetea nchi(kumbuka alipotoa kauli ya kweli kuhusu deni la Taifa).
Ni kweli watu wote tutakufa lakini tujue jambo moja-ukitenda mema utakufa na ukitenda mabaya utakufa.Swali ni je kwanini uogope kusimamia ukweli na haki?Maana in any way destination ni kifo!Ndugai awe somo kwa watawala better to sideline with the truth and justice na nafsi yako itapumzika kwa aman
Kwamba kifo ni kifo tu sio?Tusilazimishane kusikitika
Bado Paul Christian MakondaTaarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
Ila maisha sema mwamba apumzike kwa amani alitusanua jambo
Apumzike salama alichotusanua inatosha, kilimgharimuAfadhali alitusanua mapema kabla hajakata moto. Kwa hili Mungu amsamee dhambi zake.
Ishu ya deni ni alarm tosha tumepotea.
Hapa itakua kibaigwa. Walikua hawampendi kishenz. Hawa watu sijui huwa wanashindaje chaguzi pamoja na kutopendwaNimesikitishwa na kutishika na video hizi zinazodaiwa kuwa za Wananchi jimboni kwa Job Ndugai wakishangilia kifo chake
View attachment 3434487
Watakuwa ni wanafiki,kumuweka waliweza kumuweka wenyewe na hata kumtoa ni wao ndio walikuwa na nguvu ya kumtoa pale walipoona anaharibu,hakuna aliewalazimisha wamchague,ukiona mahali mbunge kaangushwa kwenye uchaguzi ujuwe wananchi wa eneo husika wanajielewa,sio kusuburi amefariki halafu mnajifanya kushangilia...Nimesikitishwa na kutishika na video hizi zinazodaiwa kuwa za Wananchi jimboni kwa Job Ndugai wakishangilia kifo chake
View attachment 3434487
Kwa hiyo ukisoma naye ndiyo wamtake?Maisha haya,Mariam Ditopile nilisoma nae advance.Wanakondoa hawamtaki.
Kwa tume ipi ya uchaguzi wanachi wawe na nguvu, hivyo hivyo sir God kasaidiaWatakuwa ni wanafiki,kumuweka waliweza kumuweka wenyewe na hata kumtoa ni wao ndio walikuwa na nguvu ya kumtoa pale walipoona anaharibu,hakuna aliewalazimisha wamchague,ukiona mahali mbunge kaangushwa kwenye uchaguzi ujuwe wananchi wa eneo husika wanajielewa,sio kusuburi amefariki halafu manjifanya kushangilia...
Tena anaweza akatangulia yeye akamuwacha huyo makondaHata kwako itakufika .hakuna Cha karma Wala nn kifo ni kila mtu acha ujinga