GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukosefu wa Ajira / Ujira kweli ni janga..., Idle Hands are the Devils Playthings.... (Hizi ni Dalili za Kukosa Kazi)

 
Chuki imetamalaki, Mungu aiponye nchi yangu, Tanzania,kwa Jina la Yesu.Wewe Mungu Baba unajua hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tuliyopo sasa,nchi ya Tanzania,Amina 🙏
 
Umefikia 75% ya matumizi ya MB za kifurushi cha Internet Tsh.100,000 umebaki na 55 MB zitumike hadi 12.08.2025 00:17:09. Piga *149*01# kununua kifurushi kingine.
Kama 100-75 =25%------> 55 MB
100%------> ? MB
===========================
(100 X 55)/25 =220 MB Sawa na Tsh.100,000.00 (Ohooo!!). Huu utakuwa utakatishaji fedha si bure.
 
Punga kweli wewe. Chadema yenyewe ni mtandao, au hujui maana ya mtandao?!!! Huyo polepole mwenyewe ana mtandao wake anaoshirikiana nao na kumpa ushirikiano wa kitaalifa, maarifa na kifedha........aendelee kuwadanganya manyumbu yasiyojielewa huko.
 
Mbona hatuambiwi kafa kwa maradhi gani mpendwa wa Kongwa
 
Taarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
Makonda aliyeratibu logistics za mashambulizi ya risasi bado yuko hai na anatarajiwa kuukwaa uwaziri mkuu panapo majaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…