Wananchi wamechanganyikiwa hawatambui kama wapo awamu ya Nne au ya Sita

Sisi wengine tulichanganywa zaidi na awamu ya tano kwa kurudishwa enzi za akina Nyungu ya mawe, Isike na Kinjikitile Ngwale!
 
Ndugu zangu tukubali kazi ya Mungu haina makosa. Ndo imeisha hiyo!

Ambao hatutaki mambo ya awamu ya 5 yajirudie tena katu abadani, tuseme Ameen!
Yaani wale watu ambao JAMII YA WATANZANIA IMEWAKATAA ndio Samia anawaamini na kuwatuma kwenye Jamii ambayo imewakataa.

KWANINI watu wasipate mashaka naye.

Samia anapingwa kutokana na maamuzi mabaya aliyoyafanya.

Kuwa karibu na watu ambao tayari Jamii ilishajenga mashaka nao.
 
Ulimaliza darasa la saba? Hiyo question mark maana yake ni nini?

Katika vitu sikosei ni uandishi wangu, nafahamu vyema matumizi ya koma, nukta, herufi kubwa na ndogo, na wapi zitumike. Nilichokiandika sijakiandika kwa bahati mbaya, inshort ni jibu lililo katika mfumo wa swali. Subiri vilaza ndio uwatishie, sio hii id boss.
 
We fala uzi wa vita vya ukraine umekushindaa...umepigwaa za uso na pro russia..unakuja na hukuu utapigwaa na matako huku..shwain ww
 
Tulikuonya kwamba CCM ina wenyewe lakini ukaleta dharau na kiburi , sasa utaisoma namba , MNAFIKI MKUBWA WE !!

Unamlilia nani sasa ?
 
Ni Bora ambeayeaye
 
Ni ujinga mtupu kujiuliza upo awamu gani badala ya kufanya kazi zaidi uongeze kipato.
 
Tatizo ni CCM! Sasa hemu tusaidiane way forward.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…