Wananchi wa βteethβWananchi wa wapi?
Hao sio wananchi, ni wachumia tumbo.Hiv wananchi ni kina nani
Na je wanachama wa mbogamboga wanaweza kuwa ndiyo wananchi wa nchi hii
Sasa kwenye tv utaacha kupongeza ili likukute la kukukuta!! Wanachi tumejazwa uoga inabidi tu tuendeleze harakati za kusifu na kuabudu.Chanzo Manara Tv. Huyo chawa atakuwa mnufaika wa zile bilioni za Makonda kuwapatia "content creators"
That guy ndio wananchi ? Au wananchi wa yanga?Wakuu,
Nilivoona hii habari nikakumbuka sauti ya Mange Kimambi 'issue iko deep' π π π π π
---------------
Wananchi wamempongeza Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa kuunda tume maalum ya kuchunguza matukio ya vurugu yaliyojitokeza kabla na baada ya Oktoba 29, 2025, wakieleza kuwa hatua hiyo inaonesha dhamira ya dhati ya kutafuta ukweli na kulinda amani ya nchi.
Wamesema wana imani kubwa na uongozi wake, huku wakisisitiza umuhimu wa tume hiyo kufanya kazi kwa uadilifu na kuwasilisha matokeo yatakayotoa haki kwa wote, ili wahusika wa matukio hayo wachukuliwe hatua stahiki za kisheria.
Aidha, wananchi wamewataka Watanzania kuendelea kudumisha amani na kuepuka vishawishi vya wachochezi, wakisisitiza kuwa mshikamano wa kitaifa ni msingi muhimu wa maendeleo na utulivu wa nchi.
Chanzo: Manara TV
Why now wakati tume ina mwaka mzima, pumbafuWakuu,

Kama wakatoliki wa vijora tuWananchi wa wapi?