PostGE2025 Wananchi wampongeza Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi Matukio Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu,

Nilivoona hii habari nikakumbuka sauti ya Mange Kimambi 'issue iko deep' 😂 😂 😂 😂 😂

---------------
Wananchi wamempongeza Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa kuunda tume maalum ya kuchunguza matukio ya vurugu yaliyojitokeza kabla na baada ya Oktoba 29, 2025, wakieleza kuwa hatua hiyo inaonesha dhamira ya dhati ya kutafuta ukweli na kulinda amani ya nchi.

Wamesema wana imani kubwa na uongozi wake, huku wakisisitiza umuhimu wa tume hiyo kufanya kazi kwa uadilifu na kuwasilisha matokeo yatakayotoa haki kwa wote, ili wahusika wa matukio hayo wachukuliwe hatua stahiki za kisheria.

Aidha, wananchi wamewataka Watanzania kuendelea kudumisha amani na kuepuka vishawishi vya wachochezi, wakisisitiza kuwa mshikamano wa kitaifa ni msingi muhimu wa maendeleo na utulivu wa nchi.

Chanzo: Manara TV
 
That guy ndio wananchi ? Au wananchi wa yanga?
 
Why now wakati tume ina mwaka mzima, pumbafu
 
Content creators ndo hawa...
Moja itabaki kuwa moja, its 2026!
 
Back
Top Bottom