Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Wananchi mbalimbali wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kufuatia kukamilika kwa mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere Hydropower Project, mradi ni miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya miundombinu ya nishati nchini ikiwa na uwezo wa MW 2,115.
Ukubwa wake unaonyesha dhamira ya Tanzania kuongeza uwezo wake wa kuzalisha nishati na kuimarisha msingi wa uchumi wake kwani ni mradi mkubwa wenye maono makubwa na unaobeba matumaini ya kizazi cha sasa na kijacho.
Soma pia Rais Samia: Mradi wa JNHPP si 'white elephant', umeme utamfikia kila mwananchi