Ushukuru kwamba katoa hela zake au kuna msaada wa nondo na cement katoa kwenye ujenzi? Maana hata jana bado zimetumika hela za hao hao walioshukuru kufanya hiyo tafrija..
Halafu mtu anapotimiza majukumu yake ya kikanuni unamshukuru kwa lipi na yupo kazini? kwani aliombwa kuwa kwenye hiyo nafasi au aliomba mwenyewe?